Nas Jr JF-Expert Member Joined May 15, 2018 Posts 7,916 Reaction score 8,715 Nov 10, 2018 #221 Ila hii ya wadada kuomba hela ya simu laki 5,6 na kuendelea ilihali ana maisha maGumu hata mimi sipendezwi nayo. Hawana constructive ideas na hata ukiwapa wanakuwa wagumu sana kuelewa na kufanya utekelezaji wao wanataka tu kutumia.
Ila hii ya wadada kuomba hela ya simu laki 5,6 na kuendelea ilihali ana maisha maGumu hata mimi sipendezwi nayo. Hawana constructive ideas na hata ukiwapa wanakuwa wagumu sana kuelewa na kufanya utekelezaji wao wanataka tu kutumia.