Wanawake jifunzeni kutafuta pesa.

Wanawake jifunzeni kutafuta pesa.

Wewe bahati yako mimi domo zege na hela sina la sivyo ningefanya juu chini nikugegede!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katafute pesa uje kumuibukia lakini usije lia humu kama umechunwa vya kutosha
 
Ndiyo chakujiuliza, wafunge zipu zao watoto wazuri wanawataka na ubahili ndiyo usiseme hizo, ndiyo wale akipita
mrembo utasikia daa wakubwa na wenye pesa wanafaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kula kwa macho tu bahili
Yaani mpaka wanakera na malalamiko yao kila kukicha wanaacha kuwalalamikia hao omba omba wao wanakuja kulia lia huku[emoji16]
 
Wengi wenye haya mawazo ni wale wenye pesa za mawazo tu ila mbona mwanaume wapi wanaoa sana tu wanawake wasokuwa na cha kufanya, wanawajengea adi ukweni, unataka change cha kujishughulisha ili iweje wewe ndo kichwa cha familia shughuli zangu hazikuhusu labda ninunue nyanya kwa kukuhurumia
Wenye pesa za mawazo utasikia nijenge ukweni sijaoa ukoo
 
Hapo sasa .......utamu wanataka kugharamia malalamiko
Mwanaume analalamika kutoa elf 3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duu shida sana,
waweke makufuri makubwa kwenye zipu wawaache wenzao watumie pesa
 
Sana tu kila kitu unapata kwanini usikae, sio wote wanataka wake zao wafanye kazi za kuajiriwa huko,
tatizo ushamba sijui au sijui kitu gani
Ndio ndio na asiseme hakuna mtu anapenda goli kipa ....wapo ambao wanataka wake zao wakae ndani kama pambo au kitu cha kumtuliza akili na kumpa furaha
 
Haaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kila moja abaki na nyege zake......na penda wanaume wa dizaini hii na hakikisha na kukomesha.... Utato*m*ba baba ako fyuuuuuu.
 
Hii kitu kwetu sisi waislamu sheria inataka hivi ......na wallah ukipata mume wa hivi unaweza hisi uko peponi ....unakua kama pambo kwake I wish mume wangu awe mtu wa mungu
Watafute pesa wasilete ukonki konki konki mastaaa oil chafu hapa
 
Back
Top Bottom