Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,813
- 95,724
Ha haaa mara nyingi anakuja na mashosti ili ushindwe kumla hiyo siku.
Akifanya hivyo mkimbie..subiri wameshaagiza wanaanza kula nenda toilet tafuta mlango wa kutokea.
Akifanya hivyo mkimbie..subiri wameshaagiza wanaanza kula nenda toilet tafuta mlango wa kutokea.
Mkuu demi kumbuka kuna wale wa kuja wanne ukimwita dinner au lunch hao ni mumiani na kutoa papuchi pia kwao ni kama vile umeomba kazi NASA[emoji1787][emoji1787]