Wanawake jifunzeni kutafuta pesa.

Wanawake jifunzeni kutafuta pesa.

sio kwamba nasapoti hii tabia; ila naomba kuuliza swali kwako mleta uzi; hivi pesa zinatafutwa je?
nadhani utanijubu eti kwa kujishughulisha. kama jibu lako ni hilo, plae anapokuwa amekupa papuch na si mkeo huoni kuwa anakuwa ameifanyia kazi hiyo pesa. nimawazo yangu tu.
 
Acha kutongoza, laa kama unataka mwanamke mfanyakazi uwe unaenda bank au shuleni utawapata wenye kazi, wapo wanaopenda akirudi amkute mkewe nyumbani kama pesa ipo kwanini mke asitumie kama wewe huna pesa basi kaa mwenyewe waache wenye pesa watumie
 
Kweli hali mbaya, vyuma vimekaza kwelikweli na girisi imeadimika ndio maana kutwa kucha wanaume mnalalama kuombwa pesa! Wanyimeni hao wanaowaomba sio kuja kutulalamikia huku
Wanatoa kisha wanakuja kulia lia humu[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Mimi huyuuu??? Wewe ndo unastress za kufa mtu juzi tu umeandika hupendi wanawake unawachukia hata wakikusalimia huitiki, my dear unadindisha kweli?????
Mwanamke kama maji usipokunywa utachambiaa
Mayooooo
 
Watu tuko tofauti sana wengine hawapendi kabisa mwanamke afanye kazi yani mwanamke akae ndani aletewe kila kitu mambo ya kwenda kudanga nje hapana naye mwanamke atalalamika kidogo but atasahau, mwanaume dizaini hii ni wale wenye mapenzi ya dhati kwa mwenza

Wengine wale sijui mwanamke naye alete tugawane kwa sababu tunatumia wote na lazima tufanye kazi wote....... my friend uko mguu nje ndani hata ukatae
 
Habari wakuu,

Hii tabia ya wanawake kuomba omba ela imekuwa kama fasheni kwa jinsia ya kike.

Kwa sasa hakuna mwanaume anayependa au kuja kuoa mwanamke ambaye hana mbele wala nyuma ( goli kipa).Na ndo sababu kubwa ya wanawake kutoolewa.

Kila mwanaume anampenda mwanamke anayejishughulisha au ana kitu (kazi,biashara)cha kumuingizia kipato.

Akina dada wengi ambao hawana kazi au biashara ndo wenye tabia hii,mara utasikia baby naomba laki mbili ya saluni,mara simu yangu ya milioni moja,na ukimchunguza hata hiyo ela yeye anayoomba kwa ajili ya kujifurahisha nafsi yake,huku ana hata kibanda cha nyanya.

Wanawake wa aina hii ogopa kama ukoma.ningewaona wa maana kama hiyo milioni kwa ajili ya kufungua hata biashara.

Na wengi wa wanawake wanaopenda kuomba utasikia au ukimchunguza vizuri ana mtoto walishamzalisha mapema kutokana na hiyo tabia,maana hakuna mwanaume anayependa kuombwa ombwa ela.

Mimi ni mgumu sana kuonga mwanamke ela ,labda tayari awe mke wangu wa ndani,ila hawa wa kuomba omba mtapata tabu sana kwangu.

Nawaza sana kuwa tajiri ,na matajiri wengi waliofanikiwa walikuwa wachoyo.

Naendelea kutafuta ela ila cyo kwa ajili ya kuonga,wanawake wapumbavu kama hao hawanifahi hata kidogo.

Najua wapo wanaume wagumu kama mimi nawapa salute kwenu wakuu.
Mkuu ile thread yenye pages 60 haikutosha?
 
Watu tuko tofauti sana wengine hawapendi kabisa mwanamke afanye kazi yani mwanamke akae ndani aletewe kila kitu mambo ya kwenda kudanga nje hapana naye mwanamke atalalamika kidogo but atasahau, mwanaume dizaini hii ni wale wenye mapenzi ya dhati kwa mwenza

Wengine wale sijui mwanamke naye alete tugawane kwa sababu tunatumia wote na lazima tufanye kazi wote....... my friend uko mguu nje ndani hata ukatae
Umeona eee, kila mtu na chaguo lake mke alete watumie wote hata kama ataongezewa na mchepuko huko sawa tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom