Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi sanaAngoje na braza akitokea amtoe ten na yeye akaringishie dem kumpa days afu aje kulia lia apa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi sanaAngoje na braza akitokea amtoe ten na yeye akaringishie dem kumpa days afu aje kulia lia apa
Demi.., hio profile pic ya nani..!?Hamuwezi badili dunia jamani. Tutaendelea sana as long as mnaomba papuchi. Mada kama hizi haziwezi kutubadilisha
Mtu akitoa kichekesho tunatakiwa kucheka, sio kubishana nae!Siku hizi wanaoongoza kutafuta hela ni wanawake na sio wanaume hataaa.
Mwenye kubisha aje hapa abishe.[emoji16]
Ndo maanake,mi pesa zangu zinaniuma sana,kwa sasa namka mapema na kurudi home mda umeenda alafu anatokea mwanamke anayetaka kunipiga ela,hapo siwezi kumuelewa hata kidogo
Na wao wasiombe kituHizi mada naona kama mnajisumbua tu, hatuwezi kuacha kuwaomba, yaani tutaomba hadi akili ziwakae sawa.
Na kwanini mnasubiri hadi tuwaombe!! Hebu mtoe pesa huko sio kusubiri kuombwa.
Na bado, ile haki sawa mnayoitaka mtaipata tu hadi kwenye majukumu!Hizi mada naona kama mnajisumbua tu, hatuwezi kuacha kuwaomba, yaani tutaomba hadi akili ziwakae sawa.
Na kwanini mnasubiri hadi tuwaombe!! Hebu mtoe pesa huko sio kusubiri kuombwa.
Kwanini nibishie kichekesho?Huwezi bisha huo ndo ukweli uliopooo...
Kweli kabisa mkuu,iko binti moja kaniomba nimununulie simu ya laki 8, na hata kazi hana au biashara hana, anakaa na dada zake ndio anawategemea, nikajiuliza si heli angeniomba hata millioni 2 aweke biashara aacha kutegemea dada zake,toka siku hio hata mawasiliano nilikata, na nikablock yeye hata kwa social media zangu, niliona huyu hata akili hana,niombe hata millioni 10, lakini uende kufanyia kitu cha kukusaidia maishani, sio ukatumie kufanya raha tu kaa kununua simu ya IPHONEHabari wakuu,
Hii tabia ya wanawake kuomba omba ela imekuwa kama fasheni kwa jinsia ya kike.
Kwa sasa hakuna mwanaume anayependa au kuja kuoa mwanamke ambaye hana mbele wala nyuma ( goli kipa).Na ndo sababu kubwa ya wanawake kutoolewa.
Kila mwanaume anampenda mwanamke anayejishughulisha au ana kitu (kazi,biashara)cha kumuingizia kipato.
Akina dada wengi ambao hawana kazi au biashara ndo wenye tabia hii,mara utasikia baby naomba laki mbili ya saluni,mara simu yangu ya milioni moja,na ukimchunguza hata hiyo ela yeye anayoomba kwa ajili ya kujifurahisha nafsi yake,huku ana hata kibanda cha nyanya.
Wanawake wa aina hii ogopa kama ukoma.ningewaona wa maana kama hiyo milioni kwa ajili ya kufungua hata biashara.
Na wengi wa wanawake wanaopenda kuomba utasikia au ukimchunguza vizuri ana mtoto walishamzalisha mapema kutokana na hiyo tabia,maana hakuna mwanaume anayependa kuombwa ombwa ela.
Mimi ni mgumu sana kuonga mwanamke ela ,labda tayari awe mke wangu wa ndani,ila hawa wa kuomba omba mtapata tabu sana kwangu.
Nawaza sana kuwa tajiri ,na matajiri wengi waliofanikiwa walikuwa wachoyo.
Naendelea kutafuta ela ila cyo kwa ajili ya kuonga,wanawake wapumbavu kama hao hawanifahi hata kidogo.
Najua wapo wanaume wagumu kama mimi nawapa salute kwenu wakuu.
Wanaojua wajibu wao wala hawangoji kuombwa wanajingeza wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watafute pesa huko hili halikwepekiHizi mada naona kama mnajisumbua tu, hatuwezi kuacha kuwaomba, yaani tutaomba hadi akili ziwakae sawa.
Na kwanini mnasubiri hadi tuwaombe!! Hebu mtoe pesa huko sio kusubiri kuombwa.
Kweli kabisa mkuu,iko binti moja kaniomba nimununulie simu ya laki 8, na hata kazi hana au biashara hana, anakaa na dada zake ndio anawategemea, nikajiuliza si heli angeniomba hata millioni 2 aweke biashara aacha kutegemea dada zake,toka siku hio hata mawasiliano nilikata, na nikablock yeye hata kwa social media zangu, niliona huyu hata akili hana,niombe hata millioni 10, lakini uende kufanyia kitu cha kukusaidia maishani, sio ukatumie kufanya raha tu kaa kununua simu ya IPHONE
Kweli ningefanya hivyo,asante kwa hio wazo umenipa mkuu,barikiwaUngemwelimisha sio kumkimbia, mkalishe chini mwingine ni umasikini tu ndiyo akili yake imemtuma huko
Amina, wengine ni mazingira tu aliokulia, akiona wengine wana smartphone naye anatamani mpe somo.Kweli ningefanya hivyo,asante kwa hio wazo umenipa mkuu,barikiwa
Najua wapo wanaume wagumu kama mimi nawapa salute kwenu wakuu.