Wanawake huwa tunatamani nini hasa kwa wanaume?

Wanawake huwa tunatamani nini hasa kwa wanaume?

Mimi mwanaume akinivutia mpk moyo ukasema yes nikampenda Alf akanitongozaa nikamkubalia....awe na pesa asiwe Nazo huwa sijalii .......
..
Sisi wenye vitambi hutaki hata kutusikia.... Dah.
 
Jamaniee huu Uzi nimewauliza wanawake lkn nashangaa midume kibao ndiyo imajaa humu kuweni serious bhana mnaharibu Uzi..... Unajua wakijibu hata nyie mtapata kitu coz mtajua wanawake wengi wanapendelea mini

Ahsanteni
 
Tumepokea tusi lako tunalifanyia kazi.

Kama msemaji wa wanaume nasema if you think you have freedom not to zet eksitent.
Nashukuru mkuu... Ila kwakua ni mwanamke, mheshimu tu
 
Mm nashangaa binti portable mrefu, ngozi nzuri hasiye na mitako mikubwa, yaani nikimwona Wa hivyo nadata kabisa
 
Navigezo vingi ila kifuay ndiyo cha kwanza...... Kiwe kimengenezwa vizuuri siyo kimetuna tuna km cha mabondia...... Asiwe na kitambii asiwe mfupi.. Asiwe mweupe.....daaa acha KBS hata ukilia anakulaza kifua anakubembeza unaenjoy [emoji4] [emoji4]
kama hizo ndio sifa uzipendazo basi umenipata teyar fanya kuni PM NOW
 
Wewe ndiyo uendelee kufanya Huo uchunguzi alfu uwaletee wanachama wenzio mrejeshoo nafaa au sifaii
Kama umeamua kunichagua basi sawa.... kam zis wei beibee...

Uje without kabisa ili tusipoteze muda
 
Kama umeamua kunichagua basi sawa.... kam zis wei beibee...

Uje without kabisa ili tusipoteze muda
[emoji134] [emoji15] [emoji15] mbn huo uchunguzi unaanzia ngazi za juu hivyoo???
 
Jamaniee huu Uzi nimewauliza wanawake lkn nashangaa midume kibao ndiyo imajaa humu kuweni serious bhana mnaharibu Uzi..... Unajua wakijibu hata nyie mtapata kitu coz mtajua wanawake wengi wanapendelea mini

Ahsanteni
Jovitha ata kam anatuvua nguo tue kimya tu? Hii tanzania hatujawa n woga kiasi iko mpk cc kwa cc loh...
 
Back
Top Bottom