Mimi huwa napenda mwanaume mweusi asiwe mfupi wala mrefu awe wa kawaida tuu, asiwe mwembamba wala mnene huwa nikikutana na mwanaume wa aina hiyo naskia raha japo sitageuka kumuangalia ila ntajikuta natabasamu tuu..........wanaume wengi wao japo siyo wote hupenda kuangalia/kushangaa wadada wenye makalio makubwaa .....wengine wanashangaa yansishia hapo hapo wengine wanatamanii kuwa na na mwanamke wa hivyooo n.k....... Kila mtu kaumbiwa matamanio..... Je kwaupande wetu sisi Madada huwa tunamtamani/ kushangaa mwanamme wa aje kila mtu anakitu chake anachopenda mwenza wake awe nachoo je sisi wadada huwa tunatamani non???.
Nianze na mimi......
....Huwa napenda sana mwanamme mwenye kifua kipana kilicho jengeka vizuuuri na kama nikibahatika kuongea nae angalao sauti iwe nzitooo......
[emoji85] [emoji125]
wangese tu hao hawana lolote .
Mungu anakuona ujuewangese tu hao hawana lolote .
Aiseee.....![emoji23] [emoji111] Friends With Benefit
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] jus kidngAaah mm nimemtafuta nan??
Hata akiwa six packs lazima awe na hela [emoji1] [emoji1]Hata km ni hivyo lkn vipo baadhi ya vitu hutuvutia tofauti na ulivyotaja
Soo ukiwa mitaa kama kariakoo au mlimani city huwa unatabasamu kila saa..!? Sory im jus asking cause surely im interested na jibu lako an im soo damn nervous kuona post quoted by you ...NeybrightMimi huwa napenda mwanaume mweusi asiwe mfupi wala mrefu awe wa kawaida tuu, asiwe mwembamba wala mnene huwa nikikutana na mwanaume wa aina hiyo naskia raha japo sitageuka kumuangalia ila ntajikuta natabasamu tuu.
Sema ukweli wako bhanaa huwa unageukaaaMimi huwa napenda mwanaume mweusi asiwe mfupi wala mrefu awe wa kawaida tuu, asiwe mwembamba wala mnene huwa nikikutana na mwanaume wa aina hiyo naskia raha japo sitageuka kumuangalia ila ntajikuta natabasamu tuu.
ila ww unapenda kifua?Kila mtu anachaguo lake unaweza kuenda GYM mwingine hapendii vifua anapenda kitu kingine........
Ngastuka...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo shots naona zlikuwa sio za hapa mixer kichna na kigiriki.Nilikuwa najiandaa ya miss natafuta cha mtoto