relato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 689
- 986
Mmh. Ndio mjue kuna mtu kamfanya awachukie. You guys always play rough that's why mnabadilisha mioyo ya wasichana wazuri kila kukichaAseme sasa co anabak kutoa lugha chafu....
Mmh. Ndio mjue kuna mtu kamfanya awachukie. You guys always play rough that's why mnabadilisha mioyo ya wasichana wazuri kila kukichaAseme sasa co anabak kutoa lugha chafu....
Nakushangaa ukisema hivi mkuu.Mmh. Ndio mjue kuna mtu kamfanya awachukie. You guys always play rough that's why mnabadilisha mioyo ya wasichana wazuri kila kukicha
Kuumizwa hakuhalalishi utukane wanaume/wanawake wote. Ukijumuisha unajikuta unamtukana hata mama/baba yako.Mmh. Ndio mjue kuna mtu kamfanya awachukie. You guys always play rough that's why mnabadilisha mioyo ya wasichana wazuri kila kukicha
Falas of generazation.Mmh. Ndio mjue kuna mtu kamfanya awachukie. You guys always play rough that's why mnabadilisha mioyo ya wasichana wazuri kila kukicha
Vizuri sana.... Sasa rafiki unae!???Mi nikimuona mwanaume mrefu mweusi,amevaa smart iwe casual (sana sana jeans and shirt)or official just he look good. Huwa napenda sana zaid akivaa cadet.. Uwiiiiih. Nafurahi Sana. Ila hasa wa milegezo mmmh. Hata siwatazami Mara mbili kichefu chefu
Awap xi kwa kutaman kifua weng wenu mnapenda chapa(money).........wanaume wengi wao japo siyo wote hupenda kuangalia/kushangaa wadada wenye makalio makubwaa .....wengine wanashangaa yansishia hapo hapo wengine wanatamanii kuwa na na mwanamke wa hivyooo n.k....... Kila mtu kaumbiwa matamanio..... Je kwaupande wetu sisi Madada huwa tunamtamani/ kushangaa mwanamme wa aje kila mtu anakitu chake anachopenda mwenza wake awe nachoo je sisi wadada huwa tunatamani non???.
Nianze na mimi......
....Huwa napenda sana mwanamme mwenye kifua kipana kilicho jengeka vizuuuri na kama nikibahatika kuongea nae angalao sauti iwe nzitooo......
[emoji85] [emoji125]
Basi Sawa. Lakini nadhan n ishu ya kupotezea tuu .kila mtu na maumivu na maswahbu yake...hatjui alikutwa na yapiiKuumizwa hakuhalalishi utukane wanaume/wanawake wote. Ukijumuisha unajikuta unamtukana hata mama/baba yako.
Ukimaanisha kwamba vepeee?Falas of generazation.
Anae huyo. Cc kan'tangaze. Unamkumbuka yule wa kule diamond plaza[emoji13] [emoji13] [emoji13] ulitamani kutapika zombie weweVizuri sana.... Sasa rafiki unae!???
Hapa tunajadili mtu Fulani. So,maumivu hutofautiana. Wengine wanakutwa na maswahibu mabaya mpaka wanapata ulemavu wa kudumu,wengine wanashuhudia ndugu zao wakipoteza maisha. That's why nkasema pengine amekutwa na jambo lililomfanya akwachukia wanaumeNakushangaa ukisema hivi mkuu.
Wanaume ni wangapi wanateswa na wanawake na ni wanawake wangapi wanateswa na wanaume.
Yes JoJo ninae my man,and he is good Yaani anapita mule mule ninamo taka mie bila Hata ya kumuambia aisee. Nazidi kumpenda kila sikuVizuri sana.... Sasa rafiki unae!???
relato relato relato,nitakufinyanga weweeee. Ndio nini kunikumbusha yule mbwa???Yaani tulikutana na jamaa amevaa mlegezo kama wa lil Wayne halafu Ndio yuko na sister du wake,nilihisi kutapika kwakweliAnae huyo. Cc kan'tangaze. Unamkumbuka yule wa kule diamond plaza[emoji13] [emoji13] [emoji13] ulitamani kutapika zombie wewe
Siusemee sasa unapendee wenye bimbadier maanaa umedisi vibamiaa kinyume chake unapenda hogoomimi naangaliaga pembeni au nafunga macho nikikutana nao.vibamia vitupu .wana roho mbaya kuliko shetani.siangalii mashetani mimi.