Wanawake huwa tunatamani nini hasa kwa wanaume?

Wanawake huwa tunatamani nini hasa kwa wanaume?

Miss Natafuta ttzo nini na sisi wanaume? Yaan ww kisa Anko Magu ni mwanaume na kakuta cheti chako ni feki hasira zotee ukaangushia kwa wanaume?
 
ila ww unapenda kifua?
Navigezo vingi ila kifuay ndiyo cha kwanza...... Kiwe kimengenezwa vizuuri siyo kimetuna tuna km cha mabondia...... Asiwe na kitambii asiwe mfupi.. Asiwe mweupe.....daaa acha KBS hata ukilia anakulaza kifua anakubembeza unaenjoy [emoji4] [emoji4]
 
Vidonge vipi sasa mtu mwenyewe mwoga afu tuna muona mshamba tuu mwamke mwenye hadhi ya umwanamke haropoki wala kutukana hovyo hovyo.
Ule niutani tu hakuwa serious alikuwa anachangamsha jukw.....mangapi umeyasikia bhanaa
 
Back
Top Bottom