Wanawake huwa tunatamani nini hasa kwa wanaume?

Wanawake huwa tunatamani nini hasa kwa wanaume?

mimi naangaliaga pembeni au nafunga macho nikikutana nao.vibamia vitupu .wana roho mbaya kuliko shetani.siangalii mashetani mimi.


Isije ikawa wewe ni fuko la rambo? Haiwezekani kila unayekutana naye ni kibamia kwako, lazima utakuwa bwawa la mtera.
 
Kutoka rohoni napenda wanaume weusi warefu,wenye body kdg,sio wembamba. Akiwa na macho makubwa kdg ni added advantage
 
Kutoka rohoni napenda wanaume weusi warefu,wenye body kdg,sio wembamba. Akiwa na macho makubwa kdg ni added advantage
Kwa hiyo hata wakiwa mia wenye sifa hizo wote utawapenda au unawatamani? Usichanganye kupenda na kutamani
 
Hongeraqq
Napenda mwanaume mwenye maneno matamu matamu anayejua kubembeleza

Pia napenda wanaume wenye mihogo ya haja sio hawa wengine ukikohoa tu kinatoka.
OK lakini uwezi jua mwanaume mwenye hivyo vigezo ulivyovitaja bila kuwa nae....... ..mi naongelea muonekano wa nje
Sifa ulizotaja nipo nazo
 
mimi naangaliaga pembeni au nafunga macho nikikutana nao.vibamia vitupu .wana roho mbaya kuliko shetani.siangalii mashetani mimi.
Jamani haya unawachukia nani anakutimizia shida zako pili mii nadhani hamna MTU shetani wote tumebwa na Rabuka kwa mfano wake ....kuwa mpole na mvumilivu....
 
Back
Top Bottom