Wanawake huwa tunatamani nini hasa kwa wanaume?

Wanawake huwa tunatamani nini hasa kwa wanaume?

[emoji3][emoji3] wewe mtoto haufai nekutunuku shahada ya uzamivu AKA leprofeseri joanah.

Kweli moyo mashine as you stated.

Was just saying buana
Sema nimeipenda hiyo le profeseri[emoji6]

Ifike mahali Jovitha ajue haya mambo hayana formula

Nisaidie kumuelewesha eee?
 
Siku zote najua wewe ni yeye.... nitaamini siku mkiwa wawili. Aki
Em seriously naomba sababu mbili za msingi

Najua unajua hivyo maana hii ni mara ya pili unanambia hivyo
 
Walaaaa! Mi najua umetania tu.
Daby ni mtu mzuri sana na anakufaaaaa.
Im out
Mi hata sijui asee

Anakufaaaa=ananifaa?
Anakufaaaa=he's dying?

Kuna muda lugha ya maandishi inakua ngumu kujua mtu alimaanisha nini
 
Back
Top Bottom