Wanawake huwa tunatamani nini hasa kwa wanaume?

Wanawake huwa tunatamani nini hasa kwa wanaume?

4b595fa370aa4a218f7fdc7c877c6d31.jpg
Pesa pesa pesaaa
 
mimi naangaliaga pembeni au nafunga macho nikikutana nao.vibamia vitupu .wana roho mbaya kuliko shetani.siangalii mashetani mimi.
Inaonekana wewe ni bwawa lililovunja kingo maji yanamwagika tu hakuna wa kuyazuia.
Aidha ni mgodi wa tulawaka ulioshinda sururu na majembe ni matingatinga tu yanachimba.


Sent from my D5303 using JamiiForums mobile app
 
Mimi huwa napenda mwanaume mweusi asiwe mfupi wala mrefu awe wa kawaida tuu, asiwe mwembamba wala mnene huwa nikikutana na mwanaume wa aina hiyo naskia raha japo sitageuka kumuangalia ila ntajikuta natabasamu tuu.
[emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
mimi naangaliaga pembeni au nafunga macho nikikutana nao.vibamia vitupu .wana roho mbaya kuliko shetani.siangalii mashetani mimi.

Wewe itakuwa ulikuwa "Terrible Teen"!
Acha kuwaambukiza wengine maradhi yako kwa makusudi!
 
Miss Natafuta amegongwa ban moja matata yaan Mods nao wanamtafuta lakini bado hawamuoni.
 
.........wanaume wengi wao japo siyo wote hupenda kuangalia/kushangaa wadada wenye makalio makubwaa .....wengine wanashangaa yansishia hapo hapo wengine wanatamanii kuwa na na mwanamke wa hivyooo n.k....... Kila mtu kaumbiwa matamanio..... Je kwa upande wetu sisi Madada huwa tunamtamani/ kushangaa mwanamme wa aje kila mtu ana kitu chake anachopenda mwenza wake awe nachoo je sisi wadada huwa tunatamani nini???.

Nianze na mimi......
....Huwa napenda sana mwanamme mwenye kifua kipana kilicho jengeka vizuuuri na kama nikibahatika kuongea nae angalao sauti iwe nzitooo......

[emoji85] [emoji125]
Kama mimi
 
Back
Top Bottom