the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,373
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mmmmhhh...Wanawake huwa wana mambo sana...utasikia hili utaambiwa lile, wengne utasikia ooh mimi nipe pesa mambo ya kupiga gym nenda kawe mlinzi...mwngne uuuhh mimi nataka pesa usinletee maua mimi sio nyuki... full of ambiguity
Yaani ulivyomwombea..Ombi?
Mazingira?
Asee sijaelewa chochote kati ya hivyo
Hapa nilivyomuombea umfahamishe kuwa mapenzi hayana formula?Yaani ulivyomwombea..
Pili ile sehemu si niliwakuta mnajadili mada moja. Kupitia hapo nikayengeneza image na ikitegemea Ni jf
Yaaani wewe sheeedahwangese tu hao hawana lolote .
C'mmon J. Naongelea first time kabisa ya ile ishu ya isaac bwana sio hapa. Hebu vita taswira utakumbukaHapa nilivyomuombea umfahamishe kuwa mapenzi hayana formula?
Kujadili mada moja wapi?kwani kujadili mada moja kuna uhusiano na unachosema?
Em ngoja nitafute hiyo threadC'mmon J. Naongelea first time kabisa ya ile ishu ya isaac bwana sio hapa. Hebu vita taswira utakumbuka
OkEm ngoja nitafute hiyo thread
Narudi
We dada nahisi ulishawahi kuniona sehemu fulani.........wanaume wengi wao japo siyo wote hupenda kuangalia/kushangaa wadada wenye makalio makubwaa .....wengine wanashangaa yansishia hapo hapo wengine wanatamanii kuwa na na mwanamke wa hivyooo n.k....... Kila mtu kaumbiwa matamanio..... Je kwaupande wetu sisi Madada huwa tunamtamani/ kushangaa mwanamme wa aje kila mtu anakitu chake anachopenda mwenza wake awe nachoo je sisi wadada huwa tunatamani non???.
Nianze na mimi......
....Huwa napenda sana mwanamme mwenye kifua kipana kilicho jengeka vizuuuri na kama nikibahatika kuongea nae angalao sauti iwe nzitooo......
[emoji85] [emoji125]
Tutake radhi mkuu[emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53]wangese tu hao hawana lolote .
Poa kama ni kwelikuna mtu kaiba pwd yangu jamani
Na asipokutongozaMimi mwanaume akinivutia mpk moyo ukasema yes nikampenda Alf akanitongozaa nikamkubalia....awe na pesa asiwe Nazo huwa sijalii .......
..
We sema umetendwa na ww ndo unawachukia sio kwa povu hilomimi naangaliaga pembeni au nafunga macho nikikutana nao.vibamia vitupu .wana roho mbaya kuliko shetani.siangalii mashetani mimi.