Wanawake hupenda wanaume wapole kwa sababu hii

Wanawake hupenda wanaume wapole kwa sababu hii

Wanataka ili wawe wanaruka ukuta kirahisi... hawana lolote.

Mwanamke anayetaka kutulia na kumilikiwa vema na mtu mmoja hawezi kumpenda mwanaume mpoleeee
 
Na hawa jamaa wanaoonekana wapole siku wakifanya maamuzi yanakuwa magumu kweli kweli na hawapindui.
True...hii ilitokea kwa father mdogo. Aisee alikuwa mpole kupitiliza mpaka mkewake akawa anamdharau na kujiamulia chochote bila kumshirikisha mumeo. Lakin mume hakuchoka kumuonya asee . SIku ya siku si akaingia kwenye mikono ya father NOMA SANAAA alichezea kichapo kikali had kuvunjwa mkono na kufukuzwa kwao yan saiv heshima debe ...hadi jamaa akikohoa mke anaitika
 
Mhhhh hapo bado me nitakataa kwa kweli me ninachojuwa wanawake wengi wanapenda wanaume wakali na wenye msimamo na kama yupo ambaye ananipinga ajitokeze na kusema sio kweli

Mwanamke anapenda mwanaume mkali anajuwa kwamba atakuwa secured kwa anything,hawa watu wanapenda sana attention sana tena kuliko anything,siku zote ukishamjuwa mwanamke hawezi kuja kukusumbua hata kidogo hata iweje.

Pia vile vile ukiwa mkali always hawezi kukuletea ujinga au kukutamkia mambo ya kijinga,me huwa akileta ujinga na kipigo juuu na yeye mwenyewe ananiambia kwamba niendelee hivi hivi anapenda niwe na msimamo kama mwanaume na niwe mkali kwake,na ana enjoy mimi kuwa mkali,maana upole ninao dakika 3 nacheka na kutaniana dakika 2 nimebadilika na sura inakuwa nzito no kucheka hapo na ni serious tu.

So jamani tukae tukijuwa kwamba hamna mwanamke anapenda mtu mpole wanapenda wanaume wakali na endapo utakuwa mkali hutokuja kuumizwa kwenye mapenzi ila kama upo mpole tu kama zezeta always atakuendesha sanaaaa na utajuta kupenda,so tuwe na msimamo maana ukiwa mkali ataanzaje kucheat au kuleta mambo ya kijinga??ila upole wako ndio atachukulia advantage na kuona huwezi mfanya lolote hata iweje....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Najiulizaga nijambo gani kubwa ambalo nitafanya mpaka mumewangu anipigie,haijawai kutokea pia nilimuomba Mungu sana asinipe mume mkali coz haitakua ndoa coz mimi mwenyewe mkali,nashukuru kanipa mume mpole but strict.
 
Hongera sanaa kwa hilo na bora umepata mwanaume ambaye strictly hongera sanaaa na endelea kuwa na msimamo wako hivyo hivyo siku zote....ila sipendi mwanamke anidanganye au afanye vitu vya siri siri sipendi kabisaaa hata kidogo.....
 
Umefafanua Uzuri Sana Hili, Watu Wanashindwa Kutofautisha Katika Ukimya Na Upole
++ lindiwe
Kuna tofauti kubwa kati ya upole na ukimya.Watu wasiopenda kuongea kabisa hasa ktk makundi au huongea machache tunaweza waita wakimya.
Lakini mpole huambatana na uchangamfu,kutogombeza,wasionyesha hisia kwa urahisi juu ya kuumia kwao,furaha,ucheshi na hali ya kuyachukulia mambo kwa wepesi tu (wanapotezea) hivyo hili la kupotezea mambo ndo wanawake hupenya hapo kwa kudhani wako huru
++
 
++
Ukimuuliza binti yeyote mwenye ndoto ya kuolewa,,akutajie sifa za mume ampendae,sifa ya "awe mpole" itakuwa ktk orodha ya mwanzo kabisa.Ktk utafiti binafsi sifa hii imetajwa na wasichana 74 ikiwa ya kwanza,,wasichana 113 ikiwa ya 2.Lakini kwa wanawake walio ktk ndoa,,wanawake 20 walisema wanapenda mume mpole ikiwa sifa ya 1 na 42 waliobaki waliitaja ikiwa ya 2
Huo ni utafiti binafsi ambao ulitaka kujua tu UPOLE WA MWANAUME una nafasi gani kwa mwanamke
++
Lakini kwa nini wanawake au mabinti hupenda mwanaume mpole? Kwa nini mkorofi hatajwi kabisa? Je ni kweli ni watu wanaohitaji huruma kiasi hicho? Mtaalamu wa masuala wa mahusiano wa kimarekani Baruck Miller aliyetafiti mahusiano kwa miaka zaidi ya 20,,anasema "... Mwanamke anampenda mwanaume mpole ili AJITAWALE KTK MAHUSIANO..."
++
Siku zote,mwanamke anapenda awe huru kwenda apendapo au kupewa atakacho.Hivyo anapokuwa mbele ya mwanaume mpole hana wasi,,wala hana tabu ya kutimiziwa shida yake.Akikutana na mwanaume mpole sana kiasi cha kukaribia ujinga basi atamuendesha mume/mpenzi kama rimoti control.
++
Jambo wanalosahau wanawake ni kuwa,,upole wa wanaume wengi wanautafsiri kama ujinga,uzezeta au kuliona kundi hili la kuchuna wapendavyo.
Laiti wangekumbuka kuwa mwanaume mpole ni kama volcano tuli,,ikilipuka imelipuka basi sifa ya upole ingekuwa ya mwisho.
++
mimi siku nikitaka kuoa, nataka mke ambae ataniona mimi mpole lakini moyoni wake anajua mimi ni KING LION OF THE JUNGLE, yaani nakua mpole sana kwake chochote atakacho anapata lakini asije akafikiria mimi ni jinga, maana siku atafanya taabu ndio atajua mimi sio mploe, mimi ni GENTLEMAN WHO KNOWS HOW TO TREAT A LADY LIKE A QUEEN
 
Daah hao wanaotreat like a queen wanapatikana wapi?
 
++
Ukimuuliza binti yeyote mwenye ndoto ya kuolewa,,akutajie sifa za mume ampendae,sifa ya "awe mpole" itakuwa ktk orodha ya mwanzo kabisa.Ktk utafiti binafsi sifa hii imetajwa na wasichana 74 ikiwa ya kwanza,,wasichana 113 ikiwa ya 2.Lakini kwa wanawake walio ktk ndoa,,wanawake 20 walisema wanapenda mume mpole ikiwa sifa ya 1 na 42 waliobaki waliitaja ikiwa ya 2
Huo ni utafiti binafsi ambao ulitaka kujua tu UPOLE WA MWANAUME una nafasi gani kwa mwanamke
++
Lakini kwa nini wanawake au mabinti hupenda mwanaume mpole? Kwa nini mkorofi hatajwi kabisa? Je ni kweli ni watu wanaohitaji huruma kiasi hicho? Mtaalamu wa masuala wa mahusiano wa kimarekani Baruck Miller aliyetafiti mahusiano kwa miaka zaidi ya 20,,anasema "... Mwanamke anampenda mwanaume mpole ili AJITAWALE KTK MAHUSIANO..."
++
Siku zote,mwanamke anapenda awe huru kwenda apendapo au kupewa atakacho.Hivyo anapokuwa mbele ya mwanaume mpole hana wasi,,wala hana tabu ya kutimiziwa shida yake.Akikutana na mwanaume mpole sana kiasi cha kukaribia ujinga basi atamuendesha mume/mpenzi kama rimoti control.
++
Jambo wanalosahau wanawake ni kuwa,,upole wa wanaume wengi wanautafsiri kama ujinga,uzezeta au kuliona kundi hili la kuchuna wapendavyo.
Laiti wangekumbuka kuwa mwanaume mpole ni kama volcano tuli,,ikilipuka imelipuka basi sifa ya upole ingekuwa ya mwisho.
++
ni kweli tupu hapo mkuu,ila wanawake husahau kuwa maji yaliyotulia ndiyo yenye kina kirefu,shauri yao.
 
++
lindiwe
Kuna tofauti kubwa kati ya upole na ukimya.Watu wasiopenda kuongea kabisa hasa ktk makundi au huongea machache tunaweza waita wakimya.
Lakini mpole huambatana na uchangamfu,kutogombeza,wasionyesha hisia kwa urahisi juu ya kuumia kwao,furaha,ucheshi na hali ya kuyachukulia mambo kwa wepesi tu (wanapotezea) hivyo hili la kupotezea mambo ndo wanawake hupenya hapo kwa kudhani wako huru
++
Hapa Umemjibu Amu Vizuri!! Ukimya sio upole na Upole sio ukimya..yeye nadhani amefocus kwenye Ukimya.
 
Ni sawa,naweza kusema wanaonizungumzia wanasema mi ni mpole,hata muonekana wangu huonyesha upole,ila nikichukia nakuwa kama chui ,alafu naweza kufanya kitu kibaya mpaka watu wakaanza kujiuliza ni J au siyo yeye,

Kiukweli huwa tunapuzia sana mambo ila tukilimbuka huwa tunakuwa na hasira mbaya sana
 
Tafsiri ya upole ni nini? mwengine haongei sana ila ni balaa.

Watu wanaonizunguka walikuwa wakiniona mpole enzi zile na hata huyu niliye nae alipokuwa anadodosa wakamwambia hivyo ila tulipoanza kuwa wote akasema No wewe sio mpole kama walivyosema wewe ni mkimya mjeuri!!!!
hahaha...mimi ni mkimya nikiwa mbele kwa watu utaona tu na smile...Sasa kwa wasionijua wanaweza dhani mimi ni Mpole..Ila sasa tukiingia ndani mwanamke anaweza asiamini atakachokiona..mwingine utasikia nilijua nimepata gentleman/mpole kumbe ndivo ulivo huwa ni mkali sana kwa mwanamke asiniletee mazoea ya kipumbavu.Maana kuna wanawake wengine wanaweza kukupanda kichwani unaweza siku ukaambiwa "khaa mwanaume mbeya wewe kama mwanamke" sasa hapo kinachofuata ni nini? kama sio ITV...mpole hawezi kujua kinachofuata atakubali tu..ila upande wangu mwingine,ni mcheshi na funny man na adventurous hasa nisipotibuliwa..sasa wengi wanawake wanachanganya mtu mpole na mkimya
 
Sio wote wanaopenda wapole, binafsi mwaume mpole simuwezi kwa personality yangu naweza kumburuza.

Lakini nataka awe mkimya...talk when needed to lakini wale wa ngonjera siwawezi pia.
Hapo umesema Madame!! wakimya ni watu wazuri kama mimi...lakini sio wapole..mtu akiwa mpole atakuboa tu
 
hiyo mwaka 47 kiukweli wanaume wapole wanaboa sana
binafsi napenda adventures sana watu wapole mhhh kwanza yeye mwenyewe ataniacha siku 1

Wewe ndiyo mwanamke wa ukweli kwani mwanamke bila kuyumbishwa ama kusalitiwa ajisikii vizuri, mmezoea mateso. Hongera sana kwa kujitambua.
 
hiyo mwaka 47 kiukweli wanaume wapole wanaboa sana
binafsi napenda adventures sana watu wapole mhhh kwanza yeye mwenyewe ataniacha siku 1
Ndiko huko huko panapoongoza kwa usumbufu wa mahusiano kwa wanawake wwngi sana kuachika katika ndoa, na hatimaye hadi kufikia maamuzi ya kipumbavu kwa kuhalalisha ndoa za mikataba.

Ama kweli KUNGWI HUFUNDISHA WANAWAKE KUTOACHIKA KATIKA NDOA LAKINI YEYE MWENYEWE ALIACHIKA HUKO HUKO KATIKA NDOA TENA KWA MUDA MCHACHE TU.

Hii dunia inashangaza sana jamani.
 
Mkuu umeongelea nini? sikuelewi.
 
Back
Top Bottom