Wanawake hupenda wanaume wapole kwa sababu hii

++
Preta
tupe siri ya upande wa pili,,kuna uzuri kuliko amani ya wapole? Au weye wapenda kuwa ktk mahusiano ya kuchemsha ubongo wakati wote?
++

Kwa kweli mimi napenda mwanaume uwe kiume......napenda sana mwanaume wa kiume........ukilegea tu......ninavyojijua.......utanibeba kichwani.......kwanza ukiwa mpole utaniboa mapema sana........
 
Last edited by a moderator:
hakuna mtu anapenda mwenza mcharuko
honestly mi napenda mtu mpole ..sio ili nimpelekeshe basi tu sipendi mcharuko .
 
Mhhhh hapo bado me nitakataa kwa kweli me ninachojuwa wanawake wengi wanapenda wanaume wakali na wenye msimamo na kama yupo ambaye ananipinga ajitokeze na kusema sio kweli

Mwanamke anapenda mwanaume mkali anajuwa kwamba atakuwa secured kwa anything,hawa watu wanapenda sana attention sana tena kuliko anything,siku zote ukishamjuwa mwanamke hawezi kuja kukusumbua hata kidogo hata iweje.

Pia vile vile ukiwa mkali always hawezi kukuletea ujinga au kukutamkia mambo ya kijinga,me huwa akileta ujinga na kipigo juuu na yeye mwenyewe ananiambia kwamba niendelee hivi hivi anapenda niwe na msimamo kama mwanaume na niwe mkali kwake,na ana enjoy mimi kuwa mkali,maana upole ninao dakika 3 nacheka na kutaniana dakika 2 nimebadilika na sura inakuwa nzito no kucheka hapo na ni serious tu.

So jamani tukae tukijuwa kwamba hamna mwanamke anapenda mtu mpole wanapenda wanaume wakali na endapo utakuwa mkali hutokuja kuumizwa kwenye mapenzi ila kama upo mpole tu kama zezeta always atakuendesha sanaaaa na utajuta kupenda,so tuwe na msimamo maana ukiwa mkali ataanzaje kucheat au kuleta mambo ya kijinga??ila upole wako ndio atachukulia advantage na kuona huwezi mfanya lolote hata iweje....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Una mean nini ukisema mcharuko,kuna mcharuko,mkali,na mpole so mcharuko yupo kwenye kundi la ukali au??

Umekuja katika hatua ya muhimu kuhusu wanawake nayo ni
WOMEN SAY WHAT THEY DON'T MEAN
Naam,,ukiwauliza sifa za wampendae watasema upole lakini si ajab wanamaanisha ulichosema.
++
 
hiyo mwaka 47 kiukweli wanaume wapole wanaboa sana
binafsi napenda adventures sana watu wapole mhhh kwanza yeye mwenyewe ataniacha siku 1

je wale wenye sura ya upole lakini ni watu wa adventure unawapenda?
 
Mi mpole big noo,bila mikiki mikiki akili hainikai sawa huyo mpole ataniona kimeo aisee

Yan mie zile sample za kikurya zinanifaa zaidi
 
mimi++first date- mpole sana
++second date- i realy dont care
 
Wanaume wapole wana sifa moja kuu ambayo ndo wanawake huifata ( achana na hiyo ya ktuoa fursa kwa mwanamke kujitawala ambayo mie siikubali), they are patient, they take time to assess and make decisions and they are considerate. Hata hivyo hawa mara nyingi ni wagumu sana kubadilisha maamuzi au mawazo yao kwa kile wanachoamini ni sahihi.
 
Kingmairo
Ha ha haaa,,ngoja nikuambie jambo Mkuu,,Mwanamke ni mshauri mzuri sana kuliko hata mwanaume Akiamua kufanya hivyo.Lakini jambo moja wanapokuwa mbele ya mwanaume ambaye anaunga mkono mashauri yao kila wakati basi watabaki hapo kimwili ila kimawazo ndo atakuwa kwa hao wasiotabirika.
Suala la ku-assess maamuzi haliko unique kwa wapole tu hata wakorofi pia Na ajabu hao wasio wapole hawataki mizaha ya vitu vidogo dogo vinavyopendwa na wanawake na maamuzi yao hupongezwa baadae na wake zao
++
 
Last edited by a moderator:
Hivi unajua mi ni mpole? Ukinionea amu mwambie kwanini anatusema vibaya sie wapole watakatifu

++
Asprin
Ha haa umenikumbusha jambo wakati nafanya utafiti huu,,nilimuuliza mdada mmoja kwa nini alimpenda rafiki yangu ambae kweli ni mpole Akanijibu "..yani ni mtakatifu,huwa nampa tu kwa kumuonea huruma.."
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom