Wanawake hupenda wanaume wapole kwa sababu hii

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
5,534
Reaction score
4,193
++
Ukimuuliza binti yeyote mwenye ndoto ya kuolewa,,akutajie sifa za mume ampendae,sifa ya "awe mpole" itakuwa ktk orodha ya mwanzo kabisa.Ktk utafiti binafsi sifa hii imetajwa na wasichana 74 ikiwa ya kwanza,,wasichana 113 ikiwa ya 2.Lakini kwa wanawake walio ktk ndoa,,wanawake 20 walisema wanapenda mume mpole ikiwa sifa ya 1 na 42 waliobaki waliitaja ikiwa ya 2
Huo ni utafiti binafsi ambao ulitaka kujua tu UPOLE WA MWANAUME una nafasi gani kwa mwanamke
++
Lakini kwa nini wanawake au mabinti hupenda mwanaume mpole? Kwa nini mkorofi hatajwi kabisa? Je ni kweli ni watu wanaohitaji huruma kiasi hicho? Mtaalamu wa masuala wa mahusiano wa kimarekani Baruck Miller aliyetafiti mahusiano kwa miaka zaidi ya 20,,anasema "... Mwanamke anampenda mwanaume mpole ili AJITAWALE KTK MAHUSIANO..."
++
Siku zote,mwanamke anapenda awe huru kwenda apendapo au kupewa atakacho.Hivyo anapokuwa mbele ya mwanaume mpole hana wasi,,wala hana tabu ya kutimiziwa shida yake.Akikutana na mwanaume mpole sana kiasi cha kukaribia ujinga basi atamuendesha mume/mpenzi kama rimoti control.
++
Jambo wanalosahau wanawake ni kuwa,,upole wa wanaume wengi wanautafsiri kama ujinga,uzezeta au kuliona kundi hili la kuchuna wapendavyo.
Laiti wangekumbuka kuwa mwanaume mpole ni kama volcano tuli,,ikilipuka imelipuka basi sifa ya upole ingekuwa ya mwisho.

Na hawa jamaa wanaoonekana wapole siku wakifanya maamuzi yanakuwa magumu kweli kweli na hawapindui.
 
hiyo mwaka 47 kiukweli wanaume wapole wanaboa sana
binafsi napenda adventures sana watu wapole mhhh kwanza yeye mwenyewe ataniacha siku 1

++
amu
Anaboa vipi tena? Si ndo akikuacha huru Utasafiri upendavyo! Kuliko anaekulimit
++
 
Last edited by a moderator:
Mimi wangu utadhani pilipili.......ila nampenda kufa.......akianza kunigombeza sasa......natetemeka mpaka basi......ila ndio my heart......

++
Preta
tupe siri ya upande wa pili,,kuna uzuri kuliko amani ya wapole? Au weye wapenda kuwa ktk mahusiano ya kuchemsha ubongo wakati wote?
++
 
Last edited by a moderator:
mmmh me cjui upole ukoje je ni mtu asiye ongea sana ukitaka chochote unapata kwa wakati kama ndo hao cwapendi maana wengi wao wanatupanga tu
 
Na hawa jamaa wanaoonekana wapole siku wakifanya maamuzi yanakuwa magumu kweli kweli na hawapindui.

++
Kweli Rogie
Na hilo hutokana na wao kulimbikiza maudhi waliyofanyiwa na upande wa pili ndo maana hasira ikiwaka haipoi mpaka ifanye uharibifu
++
 
Last edited by a moderator:
++
amu
Anaboa vipi tena? Si ndo akikuacha huru Utasafiri upendavyo! Kuliko anaekulimit
++
mie naona hapa unachanganya vitu anyway some men they can be bad guys in exciting way you know na akakulimit vile vile ila unajua kuna vitu vingine like some crazy stuff,crazy talk zinachochea mapenzi na hamasa+Some adventures ambazo mnafanya pamoja ukikaa unazikumbuka unacheka na kujikuta umammic tu
Wanaume wapole hawana hizo sifa
 
mmmh me cjui upole ukoje je ni mtu asiye ongea sana ukitaka chochote unapata kwa wakati kama ndo hao cwapendi maana wengi wao wanatupanga tu

++
lindiwe
Kuna tofauti kubwa kati ya upole na ukimya.Watu wasiopenda kuongea kabisa hasa ktk makundi au huongea machache tunaweza waita wakimya.
Lakini mpole huambatana na uchangamfu,kutogombeza,wasionyesha hisia kwa urahisi juu ya kuumia kwao,furaha,ucheshi na hali ya kuyachukulia mambo kwa wepesi tu (wanapotezea) hivyo hili la kupotezea mambo ndo wanawake hupenya hapo kwa kudhani wako huru
++
 
Last edited by a moderator:
mie naona hapa unachanganya vitu anyway some men they can be bad guys in exciting way you know na akakulimit vile vile ila unajua kuna vitu vingine like some crazy stuff,crazy talk zinachochea mapenzi na hamasa+Some adventures ambazo mnafanya pamoja ukikaa unazikumbuka unacheka na kujikuta umammic tu
Wanaume wapole hawana hizo sifa

++
I think you are right amu lakini is never totally not to be interesting..hata hao ambao upole wao Umegeuka kuwa ukimya (if am right) wanakupa uhuru uupendao,,Je we hupendi uhuru?

hapa nikiongea sana watu watanijua bure let me put full stop.
WANAUME WAPOLE WANABOA BAAAAAAS
 
Mimi wangu utadhani
pilipili.......ila nampenda kufa.......akianza kunigombeza
sasa......natetemeka mpaka basi......ila ndio my heart......

well said wife! my to u is guaranteed
 
mie naona hapa unachanganya vitu anyway some men they can be bad guys in exciting way you know na akakulimit vile vile ila unajua kuna vitu vingine like some crazy stuff,crazy talk zinachochea mapenzi na hamasa+Some adventures ambazo mnafanya pamoja ukikaa unazikumbuka unacheka na kujikuta umammic tu
Wanaume wapole hawana hizo sifa

Hapana si kweli.

++
lindiwe
Kuna tofauti kubwa kati ya upole na ukimya.Watu wasiopenda kuongea kabisa hasa ktk makundi au huongea machache tunaweza waita wakimya.
Lakini mpole huambatana na uchangamfu,kutogombeza,wasionyesha hisia kwa urahisi juu ya kuumia kwao,furaha,ucheshi na hali ya kuyachukulia mambo kwa wepesi tu (wanapotezea) hivyo hili la kupotezea mambo ndo wanawake hupenya hapo kwa kudhani wako huru
++
Hilo ndio sahihi,nna experience nalo hilo la ukimya/upole.
 
Back
Top Bottom