Wanawake hupenda wanaume wapole kwa sababu hii

Wanawake hupenda wanaume wapole kwa sababu hii

Ni ngekuwa mwanamke, mwanaume mpole asingekuwa chaguo langu hata siku moja....hiyo ingekuwa sifa moja wapo ya kukupiga chini! Kwa uanaume wangu tayari nimeshawahi piga chini msichana kwavile tu alikuwa mpole....sio masihara, ni true! Mtu anakuwa mpole hadi anaboa; aaargh! sitaki kabisa watu wa aina hii! am sorry kama nawe ni mmoja wao

Kumbe ww tungewezana...safi sana...binafs mwanaume mpole nitamburuza 2 atake asitake!
 
Aaaaahhha majina halisi yanakatazwa kutajwa JF!

Yupo pale UDOM ila kabla hujakatokea jua kuwa kanapenda kweli mizinga!

Lkn kwenye dushulele hasa uki act upole kanakuruhusu pachika upapendapo

Kama unahitaji haya mambo ni PM

mkuu umenichekesha sana na comments zako! Ushaur achana na tygo
 
Asilete upole mpaka kwenye mahaba hatutaelewana kabisa kunako six by six upole uoga pembeni nimekuja kuolewa nataka kujua maana ya mume kwenye masebene siyo upole tu niupeleke wapi khaa
 
Kumbe ww tungewezana...safi sana...binafs mwanaume mpole nitamburuza 2 atake asitake!
Basi nItakutafuta manake nimem-miss sana gal wangu ambae nilikuwa nae chuo ambae kila mtu alikuwa anashangaa nilikuwa nawezana wezana nae vipi!!
 
++
Ukimuuliza binti yeyote mwenye ndoto ya kuolewa,,akutajie sifa za mume ampendae,sifa ya "awe mpole" itakuwa ktk orodha ya mwanzo kabisa.Ktk utafiti binafsi sifa hii imetajwa na wasichana 74 ikiwa ya kwanza,,wasichana 113 ikiwa ya 2.Lakini kwa wanawake walio ktk ndoa,,wanawake 20 walisema wanapenda mume mpole ikiwa sifa ya 1 na 42 waliobaki waliitaja ikiwa ya 2
Huo ni utafiti binafsi ambao ulitaka kujua tu UPOLE WA MWANAUME una nafasi gani kwa mwanamke
++
Lakini kwa nini wanawake au mabinti hupenda mwanaume mpole? Kwa nini mkorofi hatajwi kabisa? Je ni kweli ni watu wanaohitaji huruma kiasi hicho? Mtaalamu wa masuala wa mahusiano wa kimarekani Baruck Miller aliyetafiti mahusiano kwa miaka zaidi ya 20,,anasema "... Mwanamke anampenda mwanaume mpole ili AJITAWALE KTK MAHUSIANO..."
++
Siku zote,mwanamke anapenda awe huru kwenda apendapo au kupewa atakacho.Hivyo anapokuwa mbele ya mwanaume mpole hana wasi,,wala hana tabu ya kutimiziwa shida yake.Akikutana na mwanaume mpole sana kiasi cha kukaribia ujinga basi atamuendesha mume/mpenzi kama rimoti control.
++
Jambo wanalosahau wanawake ni kuwa,,upole wa wanaume wengi wanautafsiri kama ujinga,uzezeta au kuliona kundi hili la kuchuna wapendavyo.
Laiti wangekumbuka kuwa mwanaume mpole ni kama volcano tuli,,ikilipuka imelipuka basi sifa ya upole ingekuwa ya mwisho.
++

inabidi uwe vuguvugu ili asikuchanganye akili
 
Mimi sio mpole na najivunia asilia yangu, dada mnipende ama la hamna haja ya kujilazimisha kubadilisha vile Mungu aliniumba.
 
Wanaume wapole wazuri sana ila wakigeuka ni hatari zaidi ya wale machachari
 
Sipend wala sihitaji mwanaume mpole kabsaaaaaa,napenda changamoto sio kila ntakalolisemaa yy ndio hapana nachukia sana
 
++
ukimuuliza binti yeyote mwenye ndoto ya kuolewa,,akutajie sifa za mume ampendae,sifa ya "awe mpole" itakuwa ktk orodha ya mwanzo kabisa.ktk utafiti binafsi sifa hii imetajwa na wasichana 74 ikiwa ya kwanza,,wasichana 113 ikiwa ya 2.lakini kwa wanawake walio ktk ndoa,,wanawake 20 walisema wanapenda mume mpole ikiwa sifa ya 1 na 42 waliobaki waliitaja ikiwa ya 2
huo ni utafiti binafsi ambao ulitaka kujua tu upole wa mwanaume una nafasi gani kwa mwanamke
++
lakini kwa nini wanawake au mabinti hupenda mwanaume mpole? Kwa nini mkorofi hatajwi kabisa? Je ni kweli ni watu wanaohitaji huruma kiasi hicho? Mtaalamu wa masuala wa mahusiano wa kimarekani baruck miller aliyetafiti mahusiano kwa miaka zaidi ya 20,,anasema "... Mwanamke anampenda mwanaume mpole ili ajitawale ktk mahusiano..."
++
siku zote,mwanamke anapenda awe huru kwenda apendapo au kupewa atakacho.hivyo anapokuwa mbele ya mwanaume mpole hana wasi,,wala hana tabu ya kutimiziwa shida yake.akikutana na mwanaume mpole sana kiasi cha kukaribia ujinga basi atamuendesha mume/mpenzi kama rimoti control.
++
jambo wanalosahau wanawake ni kuwa,,upole wa wanaume wengi wanautafsiri kama ujinga,uzezeta au kuliona kundi hili la kuchuna wapendavyo.
Laiti wangekumbuka kuwa mwanaume mpole ni kama volcano tuli,,ikilipuka imelipuka basi sifa ya upole ingekuwa ya mwisho.
++








du hakika hawana shukrani
 
ni bora awe ana aibu kuliko wapole ni matatizo matupu kwani wakizinduka hao ni balaaa tena sana
hapa nikiongea sana watu watanijua bure let me put full stop.
WANAUME WAPOLE WANABOA BAAAAAAS
 
mimi ni mvulana mpole sana lakini pia napenda wasichana wapole sana na hata msichana wangu ni mpole sana.
MSIPOTOSHE KUWA SISI WAPOLE TUNARUHUSU UJINGA WOWOTE KUTOKA KWA WANAWAKE.
napenda ieleweke wazi kuwa HUO NI MTAZAMO WA WANAWAKE ILA UKWELI NI KINYUME CHA HAPO.
mpole
1.si mtu mwepesi kukurupuka na hivyo ni mtu anaevuta subira sana.
2.mpole anavumilia matatizo madogomadogo ambayo hayana ulazima sana wa kugombezana tofauti na wakorofi ama wakali.
3.hakuna mtu mpole anaeweza kuruhusu kuendeshwa kama gari kwa sababu ya upole wake.

WANAOENDESHWA KAMA REMOTE CONTROL wamo wapole,wakali na wakorofi na wamekosa uamuzi kwa sababu
1.wameoa wanawake ambao wao wenyewe wanajua siyo level yao na hivyo wanavumilia kuendeshwa NA HAPA HATA WALE WAKALI NA WAKOROFI HUWA HAWANA SAUTI KABISA KWA KUHOFIA KUACHWA.
2.tofauti kubwa ya kipato pia ni sababu na HAPA NDIPO WANAUME HAWATAKI KUOA WANAWAKE MATAJIRI AMA WENYE ELIMU KUBWA
 
Sipend wala sihitaji mwanaume mpole kabsaaaaaa,napenda changamoto sio kila ntakalolisemaa yy ndio hapana nachukia sana
upole hauuelewi na unaupotosha,changamoto hazitokani na ukorofi ama ukali ama upole.
changamoto zinatokana na uwezo mkubwa wa mtu kufikiria,awe mpole,mkali ama mkorofi.
NA NATAKA UELEWE CHANGAMOTO NA MAWAZO MAZURI NI MAZAO YA WATU WENYE AKILI NYINGI SANA.
mfano ni Albert Eisten(usa) binadamu anaeamika kuwa alikuwa na akili nyingi sana na akilinganishwa Isaac Newton(uk).HAWA WAWILI WALILETA CHANGAMOTO ZA HALI YA JUU KUWAHI KUTOKEA DUNIANI NA CHA AJABU HAWA WOTE WALIKUWA NI WAPOLE NA WAKIMYA,sasa changamoto gani ambazo unaamini watu wakorofi ama wakali ndio wanatoa HATA KAMA HAWANA AKILI??????????????????
 
Back
Top Bottom