Somoche
Platinum Member
- Oct 6, 2010
- 7,072
- 9,730
Mimi wangu utadhani pilipili.......ila nampenda kufa.......akianza kunigombeza sasa......natetemeka mpaka basi......ila ndio my heart......
Nimeshukuru hujasema ni Mkurya....
Mimi wangu utadhani pilipili.......ila nampenda kufa.......akianza kunigombeza sasa......natetemeka mpaka basi......ila ndio my heart......
mimi ni mvulana mpole sana lakini pia napenda wasichana wapole sana na hata msichana wangu ni mpole sana.
MSIPOTOSHE KUWA SISI WAPOLE TUNARUHUSU UJINGA WOWOTE KUTOKA KWA WANAWAKE.
napenda ieleweke wazi kuwa HUO NI MTAZAMO WA WANAWAKE ILA UKWELI NI KINYUME CHA HAPO.
mpole
1.si mtu mwepesi kukurupuka na hivyo ni mtu anaevuta subira sana.
2.mpole anavumilia matatizo madogomadogo ambayo hayana ulazima sana wa kugombezana tofauti na wakorofi ama wakali.
3.hakuna mtu mpole anaeweza kuruhusu kuendeshwa kama gari kwa sababu ya upole wake.
WANAOENDESHWA KAMA REMOTE CONTROL wamo wapole,wakali na wakorofi na wamekosa uamuzi kwa sababu
1.wameoa wanawake ambao wao wenyewe wanajua siyo level yao na hivyo wanavumilia kuendeshwa NA HAPA HATA WALE WAKALI NA WAKOROFI HUWA HAWANA SAUTI KABISA KWA KUHOFIA KUACHWA.
2.tofauti kubwa ya kipato pia ni sababu na HAPA NDIPO WANAUME HAWATAKI KUOA WANAWAKE MATAJIRI AMA WENYE ELIMU KUBWA
well said wife! my to u is guaranteed
Hahahahaaa... Mi mke wangu ananipenda kwa sababu
Ni mpole kuna siku huwa nabadilika kidogo
Basi hapo ni kununa siku nzima,.,
nakudai eti sikuhizi
Nimebadilika sana na simpendi tena....
Ni kweli ninapokuwa mpole siku inayafuata hufanya
atakavyo na kunifokea atakavyo....
na hudiliki kutaka kujua nipo wapi na nani na hutaka nimpe sim yangu na kuongea na rafiki yangu asibitishe kuwa nipo wapi.....
Aisee, mi ni mpole lakini ukija kwenye ishu ya nani amburuze mwenzie hutaamin macho yako. KhaaaKumbe ww tungewezana...safi sana...binafs mwanaume mpole nitamburuza 2 atake asitake!
++
lindiwe
Kuna tofauti kubwa kati ya upole na ukimya.Watu wasiopenda kuongea kabisa hasa ktk makundi au huongea machache tunaweza waita wakimya.
Lakini mpole huambatana na uchangamfu,kutogombeza,wasionyesha hisia kwa urahisi juu ya kuumia kwao,furaha,ucheshi na hali ya kuyachukulia mambo kwa wepesi tu (wanapotezea) hivyo hili la kupotezea mambo ndo wanawake hupenya hapo kwa kudhani wako huru
++
Basi nItakutafuta manake nimem-miss sana gal wangu ambae nilikuwa nae chuo ambae kila mtu alikuwa anashangaa nilikuwa nawezana wezana nae vipi!!
umeona enh!!Ha haaaa,nwendo mpera mpera 2
Umri umeniweka luku Mama, sasa hivi nimekuwa transfoma pozo.Nakumbuka Limbachia ukianzisha gomvi lazima disko lifungwe...lol
Aisee bado tu unachonga mpaka leo..?
1,000,000 likes.Binafsi I'm a quiet guy but nakuwa na rules na principles zangu. Kama huziwezi anza na kamwe mwanamke haweziniburuza ng'o sababu nitakutimua in seconds then nitatafuta mwengine.
Akuinde kwa staili gani?Mwanaume mpole kama zezeta hapana napenda mwanaume anaejitambua kama yye ndo man na anauwezo wa kunilinda mtu wake kwa lolote asimame kama mlinzi wangu anikanye pale napokosea aniheshmu ajiheshmu rAha zote ntampendaje.
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums