Wanawake hupenda wanaume wapole kwa sababu hii

++
Asprin
Ha haa umenikumbusha jambo wakati nafanya utafiti huu,,nilimuuliza mdada mmoja kwa nini alimpenda rafiki yangu ambae kweli ni mpole Akanijibu "..yani ni mtakatifu,huwa nampa tu kwa kumuonea huruma.."

lakini kweli loooo ukute hata kumuomba hajawahi bora amuonee huruma we women we need challenges bana
 
Mwanaume mpole kama zezeta hapana napenda mwanaume anaejitambua kama yye ndo man na anauwezo wa kunilinda mtu wake kwa lolote asimame kama mlinzi wangu anikanye pale napokosea aniheshmu ajiheshmu rAha zote ntampendaje

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
upo wapi nikutafute?
 
Sasa nitajindoje upole na kimya nilionayo...?
 
++
Ukimuuliza binti yeyote mwenye ndoto ya kuolewa,,akutajie sifa za mume ampendae,sifa ya "awe mpole" itakuwa ktk orodha ya mwanzo kabisa.Ktk utafiti binafsi sifa hii imetajwa na wasichana 74 ikiwa ya kwanza,,wasichana 113 ikiwa ya 2.Lakini kwa wanawake walio ktk ndoa,,wanawake 20 walisema wanapenda mume mpole ikiwa sifa ya 1 na 42 waliobaki waliitaja ikiwa ya 2
Huo ni utafiti binafsi ambao ulitaka kujua tu UPOLE WA MWANAUME una nafasi gani kwa mwanamke
++
Lakini kwa nini wanawake au mabinti hupenda mwanaume mpole? Kwa nini mkorofi hatajwi kabisa? Je ni kweli ni watu wanaohitaji huruma kiasi hicho? Mtaalamu wa masuala wa mahusiano wa kimarekani Baruck Miller aliyetafiti mahusiano kwa miaka zaidi ya 20,,anasema "... Mwanamke anampenda mwanaume mpole ili AJITAWALE KTK MAHUSIANO..."
++
Siku zote,mwanamke anapenda awe huru kwenda apendapo au kupewa atakacho.Hivyo anapokuwa mbele ya mwanaume mpole hana wasi,,wala hana tabu ya kutimiziwa shida yake.Akikutana na mwanaume mpole sana kiasi cha kukaribia ujinga basi atamuendesha mume/mpenzi kama rimoti control.
++
Jambo wanalosahau wanawake ni kuwa,,upole wa wanaume wengi wanautafsiri kama ujinga,uzezeta au kuliona kundi hili la kuchuna wapendavyo.
Laiti wangekumbuka kuwa mwanaume mpole ni kama volcano tuli,,ikilipuka imelipuka basi sifa ya upole ingekuwa ya mwisho.
++

Mkuu Himidini, Naomba pia ufanye research; kwa nini ni rahisi kwa wanawake japo sio wote kumpenda/kuvutiwa na mwanaume "Muhuni"??
 
Last edited by a moderator:

bona Fide
Nitajitahidi kufanya hivyo ingawa kuna maelezo ambayo hayajathibitishwa kwamba,
Wanawake huvutiwa sana kimapenzi na mwanaume anayependwa na wanawake.. wanapojua kuwa mwanaume fulani (mhuni) anapendwa na wanawake basi kila mmoja kwa nafasi yake atataka kujua ni kwa nini wanawake wanampenda? Ana ujuzi gani anaowapa? Hivyo ni rahisi kumfuata mhuni.
Pili,
Ipo imani kuwa mwanaume mwenye kutembea na wanawake wengi huwa anaacha alama fulani ya mvuto kwa wanawake.
Hata hivyo hizi bado ni nadharia tu,,utafiti ndio utaeleza vinginevyo
++
 
Last edited by a moderator:
Tafsiri ya upole ni nini? mwengine haongei sana ila ni balaa.

Watu wanaonizunguka walikuwa wakiniona mpole enzi zile na hata huyu niliye nae alipokuwa anadodosa wakamwambia hivyo ila tulipoanza kuwa wote akasema No wewe sio mpole kama walivyosema wewe ni mkimya mjeuri!!!!
 
Maundumula
Tayari we sio mpole..
Mpole ana tabia za njiwa.
++
 
Last edited by a moderator:
++
Ukimuuliza binti yeyote mwenye ndoto ya kuolewa,,akutajie sifa za mume ampendae,sifa ya "awe mpole" itakuwa ktk orodha ya mwanzo kabisa.Ktk utafiti binafsi sifa hii imetajwa na wasichana 74 ikiwa ya kwanza,,wasichana 113 ikiwa ya 2.Lakini kwa wanawake walio ktk ndoa,,wanawake 20 walisema wanapenda mume mpole ikiwa sifa ya 1 na 42 waliobaki waliitaja ikiwa ya 2
Huo ni utafiti binafsi ambao ulitaka kujua tu UPOLE WA MWANAUME una nafasi gani kwa mwanamke
++
Lakini kwa nini wanawake au mabinti hupenda mwanaume mpole? Kwa nini mkorofi hatajwi kabisa? Je ni kweli ni watu wanaohitaji huruma kiasi hicho? Mtaalamu wa masuala wa mahusiano wa kimarekani Baruck Miller aliyetafiti mahusiano kwa miaka zaidi ya 20,,anasema "... Mwanamke anampenda mwanaume mpole ili AJITAWALE KTK MAHUSIANO..."
++
Siku zote,mwanamke anapenda awe huru kwenda apendapo au kupewa atakacho.Hivyo anapokuwa mbele ya mwanaume mpole hana wasi,,wala hana tabu ya kutimiziwa shida yake.Akikutana na mwanaume mpole sana kiasi cha kukaribia ujinga basi atamuendesha mume/mpenzi kama rimoti control.
++
Jambo wanalosahau wanawake ni kuwa,,upole wa wanaume wengi wanautafsiri kama ujinga,uzezeta au kuliona kundi hili la kuchuna wapendavyo.
Laiti wangekumbuka kuwa mwanaume mpole ni kama volcano tuli,,ikilipuka imelipuka basi sifa ya upole ingekuwa ya mwisho.
++

labda awe mpole kwenye kutongoza lakini asiwe mpooole mpaka ndani!!!!
 
Mwanaume mpole kama zezeta hapana napenda mwanaume anaejitambua kama yye ndo man na anauwezo wa kunilinda mtu wake kwa lolote asimame kama mlinzi wangu anikanye pale napokosea aniheshmu ajiheshmu rAha zote ntampendaje

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

kama ulikuwa kwenye kichwa changu vile... Unakuwa mwanamme mpooole wenzie wakimtunishia vifua anakimbia nyuma yako... Lol!
 
Wanaume wapole wana mademu zaidi ya mmoja. Mademu wanafikiri wakiwa nae watamtawala kumbe kunguru hafugiki

++
Unamaanisha simba mwenda kimya..
++
 
Mimi mke wangu alinipendea kuchonga, nikianza asubuhi mpaka lunch, nianza lunch time mpaka mifugo inarudi bandani. Wakati wa uchumba tu ilikuwa taabu mtaani maana mtu akimgusa mchumba wangu/sasa mke wangu nafunga mtaa kwa.

Nikienda disko enzi zile Tanga kuna kumbi kubwa za Limbachia, Bandari,Mkonge hotel wababe wote walikuwa wanamjua mchumba wangu maana ilikuwa weka mbali na watoto.
 
Back
Top Bottom