Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
++
Ha ha haaa I know what you mean but I won't keep it open
++
hahahaaa... Uchicheme mwaya,
vp lakin nawewe ni mpole?
++
Ha ha haaa I know what you mean but I won't keep it open
++
++
Unamaanisha simba mwenda kimya..
++
hahahaaa... Uchicheme mwaya,
vp lakin nawewe ni mpole?
Mhhhh hapo bado me nitakataa kwa kweli me ninachojuwa wanawake wengi wanapenda wanaume wakali na wenye msimamo na kama yupo ambaye ananipinga ajitokeze na kusema sio kweli
Mwanamke anapenda mwanaume mkali anajuwa kwamba atakuwa secured kwa anything,hawa watu wanapenda sana attention sana tena kuliko anything,siku zote ukishamjuwa mwanamke hawezi kuja kukusumbua hata kidogo hata iweje.
Pia vile vile ukiwa mkali always hawezi kukuletea ujinga au kukutamkia mambo ya kijinga,me huwa akileta ujinga na kipigo juuu na yeye mwenyewe ananiambia kwamba niendelee hivi hivi anapenda niwe na msimamo kama mwanaume na niwe mkali kwake,na ana enjoy mimi kuwa mkali,maana upole ninao dakika 3 nacheka na kutaniana dakika 2 nimebadilika na sura inakuwa nzito no kucheka hapo na ni serious tu.
So jamani tukae tukijuwa kwamba hamna mwanamke anapenda mtu mpole wanapenda wanaume wakali na endapo utakuwa mkali hutokuja kuumizwa kwenye mapenzi ila kama upo mpole tu kama zezeta always atakuendesha sanaaaa na utajuta kupenda,so tuwe na msimamo maana ukiwa mkali ataanzaje kucheat au kuleta mambo ya kijinga??ila upole wako ndio atachukulia advantage na kuona huwezi mfanya lolote hata iweje....
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Heheheee,usipige mwanamke Papizo...kuna adhabu nzuri nyingi tu kwa mwanamke ila tambua kuwa mke hapigwi
hapa nikiongea sana watu watanijua bure let me put full stop.
WANAUME WAPOLE WANABOA BAAAAAAS
hapa nikiongea sana watu watanijua bure let me put full stop.
WANAUME WAPOLE WANABOA BAAAAAAS
Mimi mke wangu alinipendea kuchonga, nikianza asubuhi mpaka lunch, nianza lunch time mpaka mifugo inarudi bandani. Wakati wa uchumba tu ilikuwa taabu mtaani maana mtu akimgusa mchumba wangu/sasa mke wangu nafunga mtaa kwa.
Nikienda disko enzi zile Tanga kuna kumbi kubwa za Limbachia, Bandari,Mkonge hotel wababe wote walikuwa wanamjua mchumba wangu maana ilikuwa weka mbali na watoto.
Sio wote wanaopenda wapole, binafsi mwaume mpole simuwezi kwa personality yangu naweza kumburuza.
Lakini nataka awe mkimya...talk when needed to lakini wale wa ngonjera siwawezi pia.
Mimi nitakwambia hapa hata huko mitaani mwamme mpole anaboaa. Kama nilivyosema nataishia kumburuza na ikushafika hivyo sitohisi raha ya ndoa or protected++
Hapa ndipo wanawake mnaniacha hoi, madame X ukiwauliza mitaani utawasikia wanapenda mpole,,ukija humu utasikia mwanaume mpole hapendwi.
Je kutojuana kwa sura Jf ndio ukweli? Au ndo yaleyale wanawake hawaeleweki?
++
Mimi nitakwambia hapa hata huko mitaani mwamme mpole anaboaa. Kama nilivyosema nataishia kumburuza na ikushafika hivyo sitohisi raha ya ndoa or protected
Aiseee kanaitwa nani hako kademu?Mhhh!Upole wangu unanisaidia sana!Kale kademu kangu ka UDOM nikikaomba tigo huwa hakakatai na utakasikia kanasema"Yaani hadi Malafyale kajitutumua kutamka kuomba tigo basi jua alizidiwa sana;mtu huyu mpoleeee"
Hapo mm kwenye shuka huwa nacheka tu
Aiseee kanaitwa nani hako kademu?
Aaaaahhha majina halisi yanakatazwa kutajwa JF!
Yupo pale UDOM ila kabla hujakatokea jua kuwa kanapenda kweli mizinga!
Lkn kwenye dushulele hasa uki act upole kanakuruhusu pachika upapendapo
Kama unahitaji haya mambo ni PM[/QUOTE]
mimi mwenyewe demu halafu mambo ya kubrendana siyajui.
Nyie ndo wanaume wetu bwana mnaomba mambo mkipewa mnakuja kutunanga aisee pole yake huyo dent asiyejitambua
Binafsi I'm a quiet guy but nakuwa na rules na principles zangu. Kama huziwezi anza na kamwe mwanamke haweziniburuza ng'o sababu nitakutimua in seconds then nitatafuta mwengine.
Ni ngekuwa mwanamke, mwanaume mpole asingekuwa chaguo langu hata siku moja....hiyo ingekuwa sifa moja wapo ya kukupiga chini! Kwa uanaume wangu tayari nimeshawahi piga chini msichana kwavile tu alikuwa mpole....sio masihara, ni true! Mtu anakuwa mpole hadi anaboa; aaargh! sitaki kabisa watu wa aina hii! am sorry kama nawe ni mmoja wao