Wanawake hawaogopi kabisa UKIMWI?

Wanawake hawaogopi kabisa UKIMWI?

Somo kuhusu condom nilisha disco. Pekupeku kama kawa.
 
Mkuuu huo ndo ukweli wanawake wengi hawana maamuzi juu ya matumizi ya condom!!
 
si ke tu hata me kibao hawapendi kutumia cd au watatumia mwanzoni baadae inawekwa pembeni na wala hawapimi afya zao
 
Labla unaokutana nao wew ndo hawaulizi na kama hauulizwi ndo ujue unaokutana nao ni magume gume
 
Inasikitisha sana kuona kwamba unamtongoza mdada na akili zake, na heshima zake, lakini mkifika kunako mchezoni, hadi mnakaribia kufanya tendo lenyewe yeye ana kuangalia tu.

Hakumbushii mambo ya matumizi ya condom wala kanakwamba suala la matumizi ya condom ni jukumu la mwanaume tu.

Hii tabia ya wadada kuwaachia wanaume waamue kama watumie kinga au la, inatokana na nini hasa?

Je, ni kuwaamini sana wanaume au ni kutokuogopa magonjwa, ikiwemo UKIMWI?

wanaojiuza wapo makini sana.kukumbushia Condomu
 
Ndugu, unajua kama muathirika akitumia vidonge vya kuongeza maisha (ARV) kwa muda mrefu halafu akienda kupima anaonekana hana HIV? Lakini anaambukiza kama kawa. Siyo kila negative ni negative, zingine ni negapositive, kumjua negapositive ni mpaka uwe unaijua historia yake. Ukienda kupima na mtu kama huyu inakula kwako.

Mkuu...nimeweka vyote viwili hapo...MMEZOEANA MEANS MMEFAHAMIANA VIZURI NA MMEPIMA....zaidi ya hapo basi haikuwa rizki hiyo...ila utakuwa ulijitahidi kadri ulivyoweza..
 
umegusa palepale gf wangu alikataa katukatu kumbikiri kwa ndom eti siheshimu u2 wake ku2mia plaxtc khaaaaaa
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Kongosho yeleuwiiii
enzi zile nilipokuw misri, nilimla demu mmoja kwa ndomu, wakati tunaendelea nikavua ndomu bila yeye kujua nikamla kavu hadi nikamwaga bila yeye kujua, tatizo amelala chali halafu anasikilizia utamu tu na utamu ukikolea huko chini kwake anakusahau. hadi nilikojoa ndani akaja kujua wakati nimeshamaliza alipoona zinatoka. hivi sijui utamu wao huwa wanaona hadi kisogoni....hahaha
 
Unatupa fundisho ngani huo ujinga ulioufanya,
huoni kwamba ni hatari, kama demu angekuwa ameathirika virus
 
Mmh, sasa kwa nini wanahangaika kupaka karolaiti usoni kujichubua? SI wajisugue na ndomu tu wachubuke?

Umetoa wazo zuri ninahisi wengi washaliona hapa na mie nitawapelekea wale ambao hawapo hapa jukwaani
 
Ukweli usemwe tu hata kama unauma huu ni ukweli usio na shaka
 
Wewe pia una tatizo, sio bure. Nawe huogopi ukimwi? an ukimwi wanakuwa nao wakaka tu kwa ajili ya kuwambukiza wadada?
Inasikitisha sana kuona kwamba unamtongoza mdada na akili zake, na heshima zake, lakini mkifika kunako mchezoni, hadi mnakaribia kufanya tendo lenyewe yeye ana kuangalia tu.

Hakumbushii mambo ya matumizi ya condom wala kanakwamba suala la matumizi ya condom ni jukumu la mwanaume tu.

Hii tabia ya wadada kuwaachia wanaume waamue kama watumie kinga au la, inatokana na nini hasa?

Je, ni kuwaamini sana wanaume au ni kutokuogopa magonjwa, ikiwemo UKIMWI?
 
Inasikitisha sana kuona kwamba unamtongoza mdada na akili zake, na heshima zake, lakini mkifika kunako mchezoni, hadi mnakaribia kufanya tendo lenyewe yeye ana kuangalia tu.

Hakumbushii mambo ya matumizi ya condom wala kanakwamba suala la matumizi ya condom ni jukumu la mwanaume tu.

Hii tabia ya wadada kuwaachia wanaume waamue kama watumie kinga au la, inatokana na nini hasa?

Je, ni kuwaamini sana wanaume au ni kutokuogopa magonjwa, ikiwemo UKIMWI?
Naunga mkono hoja mia kwa mia.
 
Back
Top Bottom