Wanawake hawaogopi kabisa UKIMWI?

Wanawake hawaogopi kabisa UKIMWI?

kavu raha jaman asikwambie mtu...lakin afya nayo ni muhimu kuliko vyote
 
kuna rafiki yangu ananiambiaga eti bao la kwanza anapga kavu but la pili n la tatu anatumia kondom coz friction ya pili inakuwa kali ila namshangaa coz sioni mantiki hapo
 
Jikinge mwenyewe.

Jukumu la kujikinga ni la kila mtu. Ni si la mwanamke tu.

Akukumbushe nini tu sasa. wewe unajua karibu unafanya sex na mtu ambae
humjui au hujapima nae. Jikinge mwenyewe.

Kama vipi yeyesha si lazima mtiane kama huna kinga.
 
Inasikitisha sana
kuona kwamba unamtongoza mdada na akili zake, na heshima zake, lakini
mkifika kunako mchezoni, hadi mnakaribia kufanya tendo lenyewe yeye ana
kuangalia tu.

Hakumbushii mambo ya matumizi ya condom wala kanakwamba suala la
matumizi ya condom ni jukumu la mwanaume tu.

Hii tabia ya wadada kuwaachia wanaume waamue kama watumie kinga au la,
inatokana na nini hasa?

Je, ni kuwaamini sana wanaume au ni kutokuogopa magonjwa, ikiwemo
UKIMWI?

washamba unaokutana nao
 
Yuck!!

kwanza ilibidi ufungwe kwa ushenzi huo. Hata aibu hamna. At least ujinga una tiba inaitwa elimu. Huoni Kama Ilikuwa risky sana, wewe kuambukizwa magonjwa au wewe kumeambukiza au kumtia mimba?

Huu ujinga sijui ni utoto wa akili ndo unaomaliza watu. Mnaogopa Ebola lakini ukimwi mnacheza nao tu. Sawa tu.

Jinga sana huyo bwana..eti nikavua bila ye kujua!! Stupid.
 
Kuna wengine wadai condom inawaumiza kwa hiyo inabidi umvae kavu kavu
 
Back
Top Bottom