Wanawake wa siku hizi hawazitaki kondom kabisa, madai yao zinawaumiza

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
818
1,959
Wakuu

Katika maisha ya kunyanduana zamani wanawake ndio walikuwa wanahimiza sana matumizi ya kondom huku wanaume tukiwaletea ujanja na kuzitoboa lengo ile nyama kwa nyama litimie

Nowadays things are different, wanawake ndio wanazipinga condom yaani hawazitaki kabisa, nimejaribu kuwauliza baadhi wanamadai kuwa zinawaumiza kitu ambacho wanasayansi hawajawahi kutuambia popote pale

Nini sababu hasa za kisayansi zinawafanya wanawake wengi kuzikataa condom?

Je wanawake wa sikuhizi hawaoni ukimwi bado upo na tishio?

Je hawa viumbe hawafikiri kuhusu mimba zisizo tarajiwa?

Kupitia utafiti wangu huu mdogo kuhusiana na matumizi ya kondom, imenipelekea kuamini kwamba namba kubwa ya single mothers inatokana na kupuuzia matumizi ya kondom

Lakini pia hii ni nafasi kwa watafiti na wanasayansi waje watuambie kweli kama hizo kondom zinawaumiza wanawake au ni janja janja zao kama ilivyokawaida wakiingiziwa ukunu watapiga kelele na vilio vya kuigiza?

Kazi kwenu
 
Kweli kabisa na sijui kwanini hawajui ukimwi upoo afu utakuta anakua mkali kabisaa
 
Pumbavu wanafiki nyie wote mnaosema kutiana lazima kondomu. Hao single mamaz wanaozagaa mitaani na wanaoongezeka kwa kasi ya 5G mnawatia na kondomu.

Wanaume tuache unafiki!!!
man*** zenu

Laiti ingekuwa kila anaetiana anatumia kondomu kusingekuwa na wimbi kubwa la single mamaz mitaani
 
Umesema ulipowauliza walisema zinawaumiza lkn bado unauliza tatizo ni nini.Kwa nyakati hizi mwenye kirusi na asiye na kirusi wote mnafika 70+ kwahiyo sio tishio kivileee, kwa nyakati hizi hakuna ke anayetegemea kondom imkinge mimba huyo atakuwa wa ajabu.
 
Back
Top Bottom