Wanawake hawaogopi kabisa UKIMWI?

Wanawake hawaogopi kabisa UKIMWI?

haha true story asee, af baada ya kupta cku 2 au 3 ndo atajifanya anakuulza eti "hv mbn cku ile hukutumia kinga"
mi huwa nawajibu 'kwn we ulitumia?'
 
ukweli utabaki kuwa ukweli mkuu..wanawake hawajali kabsa suala la matumizi ya kondomu..wanakuwa kama wanabakwa yaani wanakuwa hawajawa tayari kwenda kufanya hilo tendo...askari gani anaenda vitani ila silaha?
watu wengine bwana sijui wako aje tu? wao sijui wanajua ni jukumu la mwanamme tu kuwa na kondomu..na ndiyo maana haza kondomu za kike hazitoki sana(hazinunuliwi sana)kwani wateja wake(wanawake) ni vimeo tu.
 
Inasikitisha sana kuona kwamba unamtongoza mdada na akili zake, na heshima zake, lakini mkifika kunako mchezoni, hadi mnakaribia kufanya tendo lenyewe yeye ana kuangalia tu.

Hakumbushii mambo ya matumizi ya condom wala kanakwamba suala la matumizi ya condom ni jukumu la mwanaume tu.

Hii tabia ya wadada kuwaachia wanaume waamue kama watumie kinga au la, inatokana na nini hasa?

Je, ni kuwaamini sana wanaume au ni kutokuogopa magonjwa, ikiwemo UKIMWI?

Wangapi mpaka sasa umetembea nao na hawajataka kutumia kinga? ukimuona huyo asokumbushia kinga ujue keshaumia anaejiamini anatembea nazo na hata akisahahu mechi itaghairishwa au zikanunuliwe,pole kwakuwapata walokwisha umia....
 
ukweli utabaki kuwa ukweli mkuu..wanawake hawajali kabsa suala la matumizi ya kondomu..wanakuwa kama wanabakwa yaani wanakuwa hawajawa tayari kwenda kufanya hilo tendo...askari gani anaenda vitani ila silaha?
watu wengine bwana sijui wako aje tu? wao sijui wanajua ni jukumu la mwanamme tu kuwa na kondomu..na ndiyo maana haza kondomu za kike hazitoki sana(hazinunuliwi sana)kwani wateja wake(wanawake) ni vimeo tu.

Na sijawahi kuziona hata kwenye maduka ya kawida hizo condom za kike kwa sababu wenyewe hawana haja nazo!
 
Wangapi mpaka sasa umetembea nao na hawajataka kutumia kinga? ukimuona huyo asokumbushia kinga ujue keshaumia anaejiamini anatembea nazo na hata akisahahu mechi itaghairishwa au zikanunuliwe,pole kwakuwapata walokwisha umia....

Acha uongo wako wewe,, eti wanatembea nazo.
Acha kujitetea ukweli ni kwamba hamjali kabisa matumizi ya condom.
 
Acha uongo wako wewe,, eti wanatembea nazo.
Acha kujitetea ukweli ni kwamba hamjali kabisa matumizi ya condom.
ndio mana nikakwambia hao ulitembea nao sio wote wasiojali.. lakini kama unadhani hawajali basi sio wote zidi tena kuchunguza...
 
enzi zile nilipokuw misri, nilimla demu mmoja kwa ndomu, wakati tunaendelea nikavua ndomu bila yeye kujua nikamla kavu hadi nikamwaga bila yeye kujua, tatizo amelala chali halafu anasikilizia utamu tu na utamu ukikolea huko chini kwake anakusahau. hadi nilikojoa ndani akaja kujua wakati nimeshamaliza alipoona zinatoka. hivi sijui utamu wao huwa wanaona hadi kisogoni....hahaha

Yuck!!

kwanza ilibidi ufungwe kwa ushenzi huo. Hata aibu hamna. At least ujinga una tiba inaitwa elimu. Huoni Kama Ilikuwa risky sana, wewe kuambukizwa magonjwa au wewe kumeambukiza au kumtia mimba?

Huu ujinga sijui ni utoto wa akili ndo unaomaliza watu. Mnaogopa Ebola lakini ukimwi mnacheza nao tu. Sawa tu.
 
Wengine hata ukivaa condom atakwambia condom inamuumiza au kukwaruza so ni bora upige kavu kavu
 
Kwa kweli condom ni mateso angalia ikipasuka raha yake hakuna mtu anahailisha mnabaki tumeuana aisee dawa ni kuacha uzinzi
 
Back
Top Bottom