Wanawake hawaogopi kabisa UKIMWI?

Wanawake hawaogopi kabisa UKIMWI?

sometimes machangudoa wapo makin kuliko hawa madada zetu wa mtaani maana machangu weng lazima wawe makin kukumbusha!!!kiujumla wanawake wengi hawapend kutumia kondom na ndio maana huwa hawazikumbuki!!!
 
Ni kweli kabisa, wanawake wengi sana mawazo ya kondomu huwa hawana na hii haijalishi ni mwanamke wa aina gani hata prof, doctor na wengine... sijui nini huwa kinawakuta ktk hali hiyo!! au akili huwa inawaruka?

Bila mwanaume kujiongeza yeye wala hata ahangaiki.

Kwa sababu tayari ni waathirika sasa mwenye jukumu la kujilinda ni wewe unayejijua mzima!
 
Mleta mada kama unafikiri kondom inazuia Ukimwi, unajidanganya. Swala la Ukimwi ni kumuomba tu Mungu akuepushe na maambukizi.
Ukimwi unaambukizwa kwa kuzoeana, unampata mpenzi leo, mtatumia ndom kwa miezi 3 mwezi wa 6 mnaachana na matumizi ya ndom mnacheza peku, baada ya miezi 2 mnakorofishana, kila mmoja anatafuta mpenzi mwingine, halafu anafanya kama alivyofanya mwanzo. Hivi ndivyo Ukimwi unavyoambukizwa.
Njia nyingine ya kupata maambukizi ni mpaka ukutane na aliye athirika, ingekuwa kucheza peku ndo kigezo kikuu cha maambukizi basi kila mtu mzima angekuwa ameathirika, kwani hakuna mtu ambaye hajawahi kucheza peku.
Mwisho, kuna sisi wabinafsi wa kungonoka, tunamuandaa mwanamke kwa muda mrefu, ukiingia kati akili, mawazo na nguvu zote ni kwenye tendo, ndani ya dakika 2 tu mchezo umekwisha na hakuna tena kurudia mpaka siku nyingine.
Angalizo: hii ya mwisho ni mpaka uwe unajielewa kifedha. Vinginevyo utaachwa mpaka basi.

Hahahaha, hilo angalizo limenichekesha sana ingawa ndio uhalisia wenyewe....dakika mbili ngaa ushashuka na hujali,
 
Machangu wako makini kuhusu matumizi ya condom
 
Kweli JF hakuna wanawake wa kuchangia mada hii,kuna majike dume ndio maana yamekaa kimya.
 
Za kupotea?

Msome FP hapo juu, pasiwedi iliibiwa kwa dakika kadhaa. Ila ndo hivyo, read btn the legs, viukwimwi vyenywe vidogoo, havionekani hata kwa macho ndio vitusumbue?
ha haaaa, wewe kweli kongosho, lol!
Mimi muzima wa afya, hofu kwako my dear
 
Ukimwi unaambukizwa kwa kuzoeana, unampata mpenzi leo, mtatumia ndom kwa miezi 3 mwezi wa 6 mnaachana na matumizi ya ndom mnacheza peku, baada ya miezi 2 mnakorofishana, kila mmoja anatafuta mpenzi mwingine, halafu anafanya kama alivyofanya mwanzo. Hivi ndivyo Ukimwi unavyoambukizwa.
Njia nyingine ya kupata maambukizi ni mpaka ukutane na aliye athirika, ingekuwa kucheza peku ndo kigezo kikuu cha maambukizi basi kila mtu mzima angekuwa ameathirika, kwani hakuna mtu ambaye hajawahi kucheza peku..

Mkuu wangu, kwanini uache kutumia condom kwa sababu mmezoeana??hiyo sio sababu mkuu, acha condom kama mmezoeana na MMEPIMA AFYA ZENU, kabla ya hapo endelea kutumia condom ata kama mpo kwenye mahusiano kwa miaka 5, hakuna kuaminiana usawa huu.

Mwisho, kuna sisi wabinafsi wa kungonoka, tunamuandaa mwanamke kwa muda mrefu, ukiingia kati akili, mawazo na nguvu zote ni kwenye tendo, ndani ya dakika 2 tu mchezo umekwisha na hakuna tena kurudia mpaka siku nyingine.
Angalizo: hii ya mwisho ni mpaka uwe unajielewa kifedha. Vinginevyo utaachwa mpaka basi.

Umenifurahisha kwenye hii style, lakini still ni salama zaidi bado ukiitumia kwa condom, acha kuonya ukali wa sumu kwa kuilamba.
 
Mmh, sasa kwa nini wanahangaika kupaka karolaiti usoni kujichubua? SI wajisugue na ndomu tu wachubuke?

Afu unakuta wengi wao wanasema mie ninapenda kugegedana bila kondomu kwa kuwa nikitumia inanichubua
 
Back
Top Bottom