Wanawake hawanipendi

Sasa mzee hapa unafeli kuna mwanangu mmoja aisee yule jamaa akitoa hela nyingi kwa manzi ni 10,000 akizidisha ni 20,000 yeye ni mzee wa love story, confidence za kufa mtu yani manzi yoyote.yule anamfata na kuchukua namba baada ya siku kadhaa anakuambia ameshakula mzigo aliwahi pandisha new force mtoto mkaree hatari toka Dsm hadi Mbeya...nkt wengine wanawapandisha pipa aisee hii dunia kuna watu wanakula mademu wazuri..bila gharama...
 
Mkuu mpe maelekezo swagga za kishamba kama zipi aanze kula mizigo na wautumie vizuri mshahara wake...
Sasa uko na demu unaanza kumletea mambo ya Archimedes principal demu gani yupo interested na pumba kama hizo?
 
Mkuu unamuoenea bure tu..yeye hata stg ya kukaza hafiki...sasa watajuaje kwamba hakazi vzur?mi nahc kuna mikosi fln iv mtu unakuwa nayo tu
 
Sasa uko na demu unaanza kumletea mambo ya Archimedes principal demu gani yupo interested na pumba kama hizo?
Hahahaha labda hua anasemaga unajua nina gari na mshahara wangu ni 1m plus you know...
 
Nenda kanisani mkuu. Ikibidi uanze kuimba kwaya kabisa utawapata tu
 
Mkuu unamuoenea bure tu..yeye hata stg ya kukaza hafiki...sasa watajuaje kwamba hakazi vzur?mi nahc kuna mikosi fln iv mtu unakuwa nayo tu
Acha ujinga, yani mademu wote hawa waliojaa ushindwe mwenyewe unasingizia mikosi?

Subiri ukuwe ndio utajuwa mikosi inafanaje, kazi huna, Luku imeisha, gesi imeisha na mwenye nyumba anasubili pango, huko Tigo nivushe, m power kote hutakiwi unanuka madeni hapo ndio utajuwa mikosi inafananaje.
 
Labda kwa sababu unataka kuwa emotional dependent, yaani uko mpweke sana hivyo unatafuta mtu wa kuwa naye karibu kihisia na kushare nae maisha na kukaa nae kwa muda mrefu. now that's where your problem is.

Habari za humu wadau,

Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 mkazi wa dar es salaam, kiufupi maisha nina kipato cha kati (nina kazi ya mshahara 1m+,
Sikiliza hii kisha tafakari .
 

Attachments

  • VID-20220906-WA0000.mp4
    6.2 MB
Pata mda wa self reflection na meditation. Sometimes we are the problem ila hutaki kuangalia
 
USHAMBA MWINGI. MAANA HATA ULIVYOANDIKA TU UNAONEKANA UNA USHAMBA. NA UNAVYOPENDA KUNING'INIZA FUNGUO ZA GARI KWENYE LOOKS ZA SURUALI WANAKUONA TU UNA USHAMBA MWINGI SANA
 
USHAMBA MWINGI. MAANA HATA ULIVYOANDIKA TU UNAONEKANA UNA USHAMBA. NA UNAVYOPENDA KUNING'INIZA FUNGUO ZA GARI KWENYE LOOKS ZA SURUALI WANAKUONA TU UNA USHAMBA MWINGI SANA

Mbona unaongea kwa hasira sana mkuu? Nini shida?
 
Hauko vizuri kwa lolote, tatizo ni ushamba hapo wala sio kingine. Ushamba unaweza bebwa kwenye misifa, dharau au namna nyingine ila ni ushamba ndani yake.
Ule ushamba wa kutojua ungefanya uonewe huruma uchunwe, sasa sio huo
Nawe acha ushamba basi. Ukiwa na hela umemaliza yote. Jamaa afundishwe namna ya kutumia hela yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…