Kutokujielewa na kutokujitambua ndio maana wana-lock pm; kama jibu ni ndio ni ndio tu na kama ni hapana ni hapana tu
Vitu gani mkuu vilikuwa vinakuja huko?Zamani nilikuwa nafikiria kama wewe, nilikuwa nashangaa kwa nini mtu afunge? Ina maana hajui kusema hapana? Ila baadae nimekuja kuelewa, PM haiendi mitongozo tu
Hiyo ni topic nyingine tofautiVitu gani mkuu vilikuwa vinakuja huko?
ha ha ha ha wekeni wazi tu,ni aibu mtu wa 35+ anaogopa kusema ndio au hapana.Hiyo ni topic nyingine tofauti
Mie sikuwa najua kama kuna kulock pm, nimejua leoo hahaa
Mimi sijawahi kufunga
Hii nini pacha
Nothing serious, we just have a folk who can't shoot properly and keeps whining!
And that's how we remembered a lethal sniper!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
PM-Private Msg DM-Direct Msg
Hiv una follow vip mtu, kwa JF app
Sijui, mimi natumia browserHiv una follow vip mtu, kwa JF app
Hujambo?Na mme saivi niko double
Umeona eeYan Dadake mimi na wewe ni kama vile mapacha tu..
Usijali nitakuwa nakuja ila naona pia upo busy pia.
Kuna wakati na kufananisha na matumaini yule actress kwajinsi unavyofetukaga!Tokea mwaka jana na mme sema hatujaoana ila yupogi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sana mkuuKuna wakati na kufananisha na matumaini yule actress kwajinsi unavyofetukaga!
mzee baba umetisha kwahyo hakustahili kuwa na mume hadi kuonewa huruma!Kweli wanaume tuna huruma.
huyu dada huwa cjui anafikiriaga nini anapocomment au kupost thread[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sana mkuu
dah kweli mtafutaji hakati tamaa hadi amepata badili basi ID iwe nimeshapata!Nampenda sana mpenzi wangu.hata jf naiona ovyoovyo siku hizi
Kivipi jielezeeKuna wakati na kufananisha na matumaini yule actress kwajinsi unavyofetukaga!