Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

Wanawake funguenu PM, tunapata tabu!

Imenifungulia PM ya HS!

[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe tu ulikuwa domo zege usimsingizie magu.
Haya fanya haraka mahari napokea mimi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe tu ulikuwa domo zege usimsingizie magu.
Haya fanya haraka mahari napokea mimi.
Sawa, ila mahali ni mpaka tupate mtoto wa tatu!

Kikao chetu cha juzi cha wanaume tumekubaliana hakuna kuuziwa mbuzi kwenye gunia!
 
Sawa, ila mahali ni mpaka tupate mtoto wa tatu!

Kikao chetu cha juzi cha wanaume tumekubaliana hakuna kuuziwa mbuzi kwenye gunia!
Basi endelea kuishukuru serikali ya awamu ya tano maana bado una safari ndefu sana.
 
Hahahahahahah kaka ake tatizo watu wanajaa pm huko me nikachoka nikaona niweke kakufuli tu kwa usalama wangu. Sasa wewe nitakuwa nakufungulia siku moja moja my brother hahahahah
Hvi dadake umenifungia pm hadi mimi! ?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ladies,

Virtually all men suffer from the same problem. Sexual attraction isn’t something to be ashamed of nor something to attempt to control. Your body wants things, and the only question is whether or not it is wise for you to actually pursue those things.

Trying to smother your desires is truly foolish, however.

Any way, I’ve been trying online dating for a year or so now. I sent my first message nervously, wondering what reply might come back and was slightly surprised! Every thing went just perfect!!

I carefully read every profile and posts before choosing which member to PM, then send them a message responding to the information they’ve provided and asking them questions to find out more abt them.

Tatizo ni moja!! Wadada karibu wote wanivutiao hapa, hasa MMU Wame Lock PM zao. I’m entirely stuck now!!

Tafadhali Ladies Unlock Your PMs. Mnatupa Taabu!!

View attachment 1104564
Nice poem
 
Hahahahahahah kaka ake tatizo watu wanajaa pm huko me nikachoka nikaona niweke kakufuli tu kwa usalama wangu. Sasa wewe nitakuwa nakufungulia siku moja moja my brother hahahahah
Hahahaha hatuonani siku hzi!!!!Ila mimi na wewe tunajua pa kukutana nikiwa na jambo langu nitakupa code tu.
 
Back
Top Bottom