Kwa binti wa 34 sina wasiwasi maana anajitambua. Ila sometimes shit happen, anaweza kukutana na lishenzi likamuonja ikawa amepoteza thamani yake na likamkimbia. Hivyo tahadhari muhimu. Imagine umejitunza kwa miaka yote hiyo unakutana na tapeli anakuvurugia.Yes, muwe mnaweka namba zao, huenda wakakutana na wenza wao humu.
Kama upo tayari kusubiri hadi siku ya ndoa. Aidha ukihitaji uthibitisho yupo tayari kwenda kwa Gynaecologist wakike akathibitisha. Maana wa kiume mh!Namhitaji huyu Injinia haraka iwezekanavyo.
Hapo kwenye kusubiri hadi siku ya ndoa ni mtihani mgumu kwa wanaume wengi nikiwemo mimi hapa.Kama upo tayari kusubiri hadi siku ya ndoa. Aidha ukihitaji uthibitisho yupo tayari kwenda kwa Gynaecologist wakike akathibitisha. Maana wa kiume mh!
Na kweli ni wengi na wameishia njiani. Namshukuru mungu msimamo wake huwa hauyumbi. Huwa nam-encourage kuwa hata miaka 50 ukiwa umejitunza utapata mume tuHapo kwenye kusubiri hadi siku ya ndoa ni mtihani mgumu kwa wanaume wengi nikiwemo mimi hapa.
Kijijini unaweza kupata!Naunga mkono hoja.
Wapo wengi tu wala sio ajabu. Ila kama mtu anashinda na kulala kitambaa cheupe na sinza hawezi amini.Wanawake na wasicha walio tolewa bikra zao chini ya miaka 20 huwa wanajitetea hakuna mwanamke bikra mwenye umri zaidi ya miaka 15.
Sasa , wasichana na wanawake wanaojitunza, jiheshimu na kumjua Mungu wapo, ndio hawa unawaona kwenye ndoa!View attachment 3701388
ChaiZipo kibao, unatakiwa kuwa na ujuzi wa kujua tu, mimi nikiangalia mdada najua tu hapa ipo hapa hakuna, hapa mnato, hapa bwawa, mimi kwa mwezi huwa sikosi moja au mbili nazitindua tena Wafanyakazi wa sekta binafsi na umma, mwenye kuhitaji huo ujuzi anicheki analipia na Ada kidogo.
Kijiji gani my furendi... kijiji gani?? Siku hizi vijijini ndio kuchafu bora hata mjiniUkiwa tayari kuoa nenda kijijini
Fear of unkwonwn , Ni bikra na mume alitoa ushuhuda, angalia podcast yao.Umewezaje kujua ni bikra kupitia picha pekee?
Shahidi wa hiyo bikra ni yule atakayelala naye
Btw, siku hizi zipo bikra nyingi za kutengeneza
Marangu,Masia, Mamba, Mwika na Kilema yote.Kijiji gani my furendi... kijiji gani?? Siku hizi vijijini ndio kuchafu bora hata mjini
Soma comments zao, watu wamenuna sana.Hata hapa wamenuna
Gynecologist huwa wanaangalia nini??Kama upo tayari kusubiri hadi siku ya ndoa. Aidha ukihitaji uthibitisho yupo tayari kwenda kwa Gynaecologist wakike akathibitisha. Maana wa kiume mh!
Mimi nimebahatika kumkuta nayo, labda kwakuwa nilioa zamaniFear of unkwonwn , Ni bikra na mume alitoa ushuhuda, angalia podcast yao.
Pili, kwanini unakimbia kuwa si bikra, au kwakuwa wewe wa kwako hakuwa bikra?
Kijijini wapo, vyuoni wapo, makazini wapo Sema tu madomo zege na hii mishangazi ya humu inatisha watu.Kijijini unaweza kupata!
Kama yupo serious aseme wapo wazuro wasafi wanataka ndoa ila kuhakikisha unahakikisha tu.Kijiji gani my furendi... kijiji gani?? Siku hizi vijijini ndio kuchafu bora hata mjini
Sio kweliKama yupo serious aseme wapo wazuro wasafi wanataka ndoa ila kuhakikisha unahakikisha tu.
IL wanataka ndoa