Wanawake bikra bado wapo!

Nimecheka kwa nguvu hapa dah🤣🤣🤣
 
Jamii zenye kuweka kipaumbele sana kwenye kufuatilia bikra ni jamii zilizo nyuma kimaendeleo.

Wewe chunguza jamii kama za wa Taliban wa Afghanistan na watu wa Ulaya Kaskazini nchi za Scandinavia, nani anafuatilia sana Bikra, na nani kaendelea zaidi.
 
aaah unatufunga kamba, mimi nilikuwa bikra mpaka utu uzima lakini usingeweza kunidhania.
Nyie wanaume mnaangalia kama maziwa yamesimama lakini yanaweza kulala na bado ukawa bikra.
Hii nakubaliana na wewe kbsa na mtuambie kwanini unakuta binti maziwa yamelala lakn bado bikra, nimekutana na mbili za dizain hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…