Wanawake badilikeni, mtaisha

Adhabu ya kisaikolojia
 
Tatizo jingine kwa wanawake almost wote, ni kutoa adhabu kibao kwa kosa moja...
1. Utanyimwa kunyandua
2. Kama ni wa kukuwekea maji ya kuoga ataacha
3. Haongei na wewe
4. Hafui
5. Maneno ya kunya
6. Hataandaa chakula

etc

YAANI KOSA MOJA ADHABU ZA KUTOSHA.

Na wengi hutumia papuchi kama silaha
 
Mimi nilifundishwa kuwa ukiona maneno yamezidi ondoka, nenda hata kwa rafiki yako ili urudi baadae na kama habadiliki ita wazazi wake wapatie mtoto wao ili kukwepa kesi za aina hii. Muda mwingine ukijifanya mjinga unaokoa mengi sana, tuwe na nidhamu na tuelewe namna ya kudhibiti hasira. Hasira hasara
 
Kwakweli jitahidini kuupeleka huo moto vizuri maana
 
Nahuu ndio ukweli.. Mpelekee moto mwanamke, peleka moto, akuheshimu, akikuheshim hawez kukuleta nyokonyoko !!


Kipigo kinachobadili tabia ya mwanamke ni kumpelekea moto.


Vipigo vingine vinamfanya awe sugu wa tabia.... ( hisia zerooo).
 
Ngoja na ye akafie jela ndo mtajua suluhu sio kupiga na kuua
 
Kwa wanawake, mwanaume akihama, siku atakayorudi moto ule ule

Bado tunajadiri outcome badala ya source
Unataka tujadili source ipi mkuu? kwamba tukuambie kupiga ni sahihi?

Kimsingi mtu mwenye maneno ya kukera na kelele nyingi ni mjeuri na mtu anayepiga ni mjeuri zaidi maana anamuonesha mwenzie kuwa nina silaha kali zaidi yako. Maneno vs kipigo. Hawa wote si watu sahihi wa kuwa nao kwenye mahusiano.

Busara haipimwi kwa kutokukutana na maudhi, inapimwa kwa reaction unayoonesha baada ya kuudhiwa.

Tukiendeleza umwamba makaburi yatajaa na magereza yatajaa .
 
Hata akiwa jeuri kiasi gani ukimpa adhabu hii ataamua jambo moja kati ya haya mawili: Mosi; Kujiachisha mwenyewe, akiondoka inakuwa ninadvantage kwako, mbili; atatafuta wasulihishi mkae myamalize, adhabu za hivi zinatesa kuliko watu wanavyofikiri, ushauri mzuri, Kudos.

Hakuna kitu kibaya kama kumpigia kelele mtu ambaye amekunyamazia, utapiga kelele mwisho utakaa kimya mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…