Wapaka rangi kucha wanavyofaidi wanawake

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,497
Habari wakuu,

Husika na kichwa hapo juu, Katika story za hapa na pale na wanawake wenzangu weekend tukiwa tumejitoa kidogo kufurahia maisha.

Mmoja wa wenzetu akasema akiwa ofisini mwenzao aliwaambia kuwa usione wanawake wengi wanapenda kupaka rangi kwa wapaka kucha kuna utamu.

Anasema akauliza utamu gani huo. Yani anadai wakati wa kupaka rangi kwanza kuna kusuguliwa miguu. Baada ya hapo unaoshwa na kupaka mafuta kwa kupapaswa papaswa taratibu. Akaendelea mbali zaidi kuwa wapaka rangi hao wanaitumia mikono yao kuwapaka mafuta wanapaka mpaka kwenye mapaja.

Akasema hapo kwenye mafuta ndio utamu unapoanzia unawafanya kujisikia raha. Anadai wanawake wengine huishia kutoka na hao wapaka rangi kwakuwa wanakuwa wamewaamsha hisia zao.

Mi nikaishia kucheka. Nikasema sasa wengine si wake za watu. Basi chakula kikaja pale tukaendelea kula.

Nimalize tu... Kuna siri nzito kwa wapaka rangi kucha.

Rangi.jpg

Picha: Kutoka makataba
 
Tumeshasahau swalha alichofanywa...ndoa Yao ilikuwa desember2021 Leo risasi zimemmeza
Watu wengi na ndoa nyingi za siku hizi watu wanakuwa hawajuani in-deep.

Sasa mkiwa pamoja kila mtu anaanza kumjua heee kumbe Chukwu emeka ndiyo yupo hivi

au kuna vitu hukuwa unamkataza mwenzio wakati mko pamoja Kwa hofu ya kuachwa,ukioa ndiyo unaanza kuleta sheria,hapo lazima mpigane tu risasi
 
sasa kuna uhusiano gani kati ya kupaka mafuta kwenye mapaja na kupaka rangi kucha?

au mapaja nayo yanapakwa rangi mpaka anampaka mafuta kwenye mapaja?
Sasa wapaka rangi nao wamekuwa wabunifu...

Wanapaka mafuta pia...
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa hapo juu,

Katika story za hapa na pale na wanawake wenzangu weekend tukiwa tumejitoa kidogo kufurahia maisha...

Mmoja wa wenzetu akasema akiwa ofisini mwenzao aliwaambia kuwa usione wanawake wengi wanapenda kupaka rangi kwa wapaka kucha kuna utamu...

Anasema akauliza utamu gani huo...

Yani anadai wakati wa kupaka rangi kwanza kuna kusuguliwa miguu...

Baada ya hapo unaoshwa na kupaka mafuta kwa kupapaswa papaswa taratibu...

Akaendelea mbali zaidi kuwa wapaka rangi hao wanaitumia mikono yao kuwapaka mafuta wanapaka mpaka kwenye mapaja...

Akasema hapo kwenye mafuta ndio utamu unapoanzia unawafanya kujisikia raha...

Anadai wanawake wengine huishia kutoka na hao wapaka rangi kwakuwa wanakuwa wamewaamsha hisia zao...

Mi nikaishia kucheka...

Nikasema sasa wengine si wake za watu...

Basi chakula kikaja pale tukaendelea kula...

Nimalize tu...
Kuna siri nzito kwa wapaka rangi kucha.
Ngoja nihamie kwenye hii kazi ...kumbe mbususu zipo nje nje
 
Back
Top Bottom