Wanawake acheni utoto ili tuwaoe

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Nasikitika kusema kwamba wanawake wana utoto na uchuro mwingi sana hadi unakata tamaa kumuoa.. yani unatongoza mwanamke anakaa anakusikikizia mwisho wa siku anakua analalamika njaa, mara hana mafuta, mara nywele, mara nguo, mara vocha, mara hela za matumizi mara sijui makitu gani.. yani ni njaa tupu na kuomba sana hela bila hata kua na huruma.

Mpaka unajiuliza hivi kabla sijatongoza alikua anaishije yani ni balaa tupu na mnakatisha sana hamu ya kuwaweka ndani.. unakuta kijana anania kweli ya kukuoa ila unaanza kumletea makitu kitu mpaka anagairi kabisa.

Hivi kwa hali hii tutajenga kweli. kwanini kama kweli mnataka tuwaoe msiache utoto ili tuwekeze hizo pesa tuje tujenge.. kwanini lakini wanawake hamtaki kukua tuu .
 
Acha utoto ndugu yangu.. ndoa sio hela
Mimi siyo mtoto,
Halafu aliyekwambia ndoa haihitaji hela ni nani?

Kwa taarifa yako kwa asilimia tisini ndoa nyingi huvunjika sababu ya umasikini.

Huyo mwanamke ambaye hutaki akwambie shida zake, ulitaka amwambie nani?

Na unataka muwe kwenye relationship kwa muda gani ndipo utamsikiliza shida zake?

Pesa huleta heshima kwa mwanaume,

Na zama zimebadilika usiishi kwa kukariri. Labda kama mgeni na wanawake.

Mwanamke anaweza kukuzidi kipato na mshahara na bado ukamuhudumia.
 
📌🔨
 
Yaani Wana utoto mwingi kuna mmoja hivi nilimwita ghetto alikuwa mpenzi wangu kwa wakati huo akaja wakati anataka kuondoka nikaona nimpe yakumwachia nikampa 30 ya nauli asiondoke mtupu mpenzi wangu na hapo mpaka anapokaa ni gari Moja tu napanda ni karibu eti ananiambia hiyo hela ni ndogo kumbuka huyu manzi anafanya kazi super market anapokea mshahara laki 3.

Na nimefanya hivyo kwa mapenzi yangu binafsi kwake alafu eti mtu anakupangia Cha kumpa nilivyooana huo utoto nikamwambia unataka kiasi gani akasema angalau si chini ya 50 nikamwambia nipe hiyo 30 nilipie umeme hapa alafu nikupe zaidi akanirudishia nikamwambia nenda tumemalizana

Akadhani nina mtania alivyoona nipo serious akaanza kulia anataka nimpe ile ile 30 kiukweli nilimkazia mno nilivyoona anazidi kulia nikampa elfu 5 asepe demu alinimind ila tangu hapo alinyooka mno aliacha utoto na heshima ikawa juu
 
Mimi siyo mtoto,
Halafu aliyekwambia ndoa haihitaji hela ni nani?

Kwa taarifa yako kwa asilimia tisini ndoa nyingi huvunjika sababu ya umasikini.

Huyo mwanamke ambaye hutaki akwambie shida zake, ulitaka amwambie nani?

Na unataka muwe kwenye relationship kwa muda gani ndipo utamsikiliza shida zake?

Pesa huleta heshima kwa mwanaume,

Na zama zimebadilika usiishi kwa kukariri. Labda kama mgeni na wanawake.

Mwanamke anaweza kukuzidi kipato na mshahara na bado ukamuhudumia.
Mmepishana sana mtazamo na mleta uzi Mkuu ni sawa na wewe unaenda Mwanza halafu mleta uzi anaenda zake Mbeya.
 
Mimi siyo mtoto,
Halafu aliyekwambia ndoa haihitaji hela ni nani?

Kwa taarifa yako kwa asilimia tisini ndoa nyingi huvunjika sababu ya umasikini.

Huyo mwanamke ambaye hutaki akwambie shida zake, ulitaka amwambie nani?

Na unataka muwe kwenye relationship kwa muda gani ndipo utamsikiliza shida zake?

Pesa huleta heshima kwa mwanaume,

Na zama zimebadilika usiishi kwa kukariri. Labda kama mgeni na wanawake.

Mwanamke anaweza kukuzidi kipato na mshahara na bado ukamuhudumia.
Kwa hiyo ukitongoza leo unaanza kupokea matatizo ya huyo mwanamke kisa uanaume ni kuhudumia?

Mke anahudumiwa, mchumba yupo chini ya wazazi wake, ukimhudumia ni kiherehere chako.
 
Nasikitika kusema kwamba wanawake wana utoto na uchuro mwingi sana hadi unakata tamaa kumuoa.. yani unatongoza mwanamke anakaa ..
Mwambie umuoe ili umhudumie kama mke , akizingua piga chini , demu anayekupenda kiukweli haombi hela ovyo ovyo , by emergency Sana , tena mara nyingi we mwenyewe unajistukia unajikuta umempa bila hata kuomba , demu unayemfukuzia chenga mkuu
 
Mimi siyo mtoto,
Halafu aliyekwambia ndoa haihitaji hela ni nani?

Kwa taarifa yako kwa asilimia tisini ndoa nyingi huvunjika sababu ya umasikini.

Huyo mwanamke ambaye hutaki akwambie shida zake, ulitaka amwambie nani?

Na unataka muwe kwenye relationship kwa muda gani ndipo utamsikiliza shida zake?

Pesa huleta heshima kwa mwanaume,

Na zama zimebadilika usiishi kwa kukariri. Labda kama mgeni na wanawake.

Mwanamke anaweza kukuzidi kipato na mshahara na bado ukamuhudumia.
Hili umeongea sahihi na nakubaliana na wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom