Wanawake acheni utoto ili tuwaoe

Wanawake acheni utoto ili tuwaoe

Mimi siyo mtoto,
Halafu aliyekwambia ndoa haihitaji hela ni nani?

Kwa taarifa yako kwa asilimia tisini ndoa nyingi huvunjika sababu ya umasikini.

Huyo mwanamke ambaye hutaki akwambie shida zake, ulitaka amwambie nani?

Na unataka muwe kwenye relationship kwa muda gani ndipo utamsikiliza shida zake?

Pesa huleta heshima kwa mwanaume,

Na zama zimebadilika usiishi kwa kukariri. Labda kama mgeni na wanawake.

Mwanamke anaweza kukuzidi kipato na mshahara na bado ukamuhudumia.
Katika hatua ya mwanzo kabisa ndio mnaanza mahusiano na mwanamke anakuomba hela kwa fujo,hata kama ninazo huambulii hata kumi,na biashara inaishia hapo,vijana wa sasa hivi nawaonea huruma sana.Ndio maana wanawake wanachezewa sana kwa tamaa zao..
 
Mimi siyo mtoto,
Halafu aliyekwambia ndoa haihitaji hela ni nani?

Kwa taarifa yako kwa asilimia tisini ndoa nyingi huvunjika sababu ya umasikini.

Huyo mwanamke ambaye hutaki akwambie shida zake, ulitaka amwambie nani?

Na unataka muwe kwenye relationship kwa muda gani ndipo utamsikiliza shida zake?

Pesa huleta heshima kwa mwanaume,

Na zama zimebadilika usiishi kwa kukariri. Labda kama mgeni na wanawake.

Mwanamke anaweza kukuzidi kipato na mshahara na bado ukamuhudumia.
Basi utakuwa una akili za kitoto,
Kwa taharifa Yako kama una mwanamke na anapenda kukuomba Hela hovyo jua akupendi na Hela unazompa Kuna kidume kinapelekewa!
 
Nasikitika kusema kwamba wanawake wana utoto na uchuro mwingi sana hadi unakata tamaa kumuoa.. yani unatongoza mwanamke anakaa anakusikikizia mwisho wa siku anakua analalamika njaa, mara hana mafuta, mara nywele, mara nguo, mara vocha, mara hela za matumizi mara sijui makitu gani.. yani ni njaa tupu na kuomba sana hela bila hata kua na huruma.

Mpaka unajiuliza hivi kabla sijatongoza alikua anaishije yani ni balaa tupu na mnakatisha sana hamu ya kuwaweka ndani.. unakuta kijana anania kweli ya kukuoa ila unaanza kumletea makitu kitu mpaka anagairi kabisa.

Hivi kwa hali hii tutajenga kweli. kwanini kama kweli mnataka tuwaoe msiache utoto ili tuwekeze hizo pesa tuje tujenge.. kwanini lakini wanawake hamtaki kukua tuu .
Kumtongoza mwanamke ni nini?
Kumtongoza mwanamke ni kumuomba shida na matatizo yake yageuke kuwa yako!
 
Mimi siyo mtoto,
Halafu aliyekwambia ndoa haihitaji hela ni nani?

Kwa taarifa yako kwa asilimia tisini ndoa nyingi huvunjika sababu ya umasikini.

Huyo mwanamke ambaye hutaki akwambie shida zake, ulitaka amwambie nani?

Na unataka muwe kwenye relationship kwa muda gani ndipo utamsikiliza shida zake?

Pesa huleta heshima kwa mwanaume,

Na zama zimebadilika usiishi kwa kukariri. Labda kama mgeni na wanawake.

Mwanamke anaweza kukuzidi kipato na mshahara na bado ukamuhudumia.
Mkuu elewa mada yangu kwanza.. acha hasira ndugu
 
Katika hatua ya mwanzo kabisa ndio mnaanza mahusiano mwanamke anakuomba hela kwa fujo,hata kama ninazo huambulii hata kumi na biashara inaishia hapo,vijana wa sasa hivi nawaonea huruma sana.Ndio maana wanawake wanachezewa sana kwa tamaa zao..
wanawake wenye uwezo wa kukutamkia neno sikupendi ni wachache sana! Ikiwa mwanamke hana upendo kwako atafanya vile ambavyo hupendi au vitakavyokuumiza ili UONDOKE mwenyewe..

~ataanza kwa kukupiga mizinga na mabom ya machozi! akiona hela unatoa, ataendelea hvyo mpaka ukome.
~akiona hela hutoi vile atakavyo anaweza kuchati na mtu wake na sms asifute ili uzione, mgombane, uachane nae!

[emoji819]ukiona vitu kama hvyo achane nae mapema. mwanamke anaekupenda atakuwa msaidizi wako sio mwangamizi wako^robert heriel
 
Yaani Wana utoto mwingi kuna mmoja hivi nilimwita ghetto alikuwa mpenzi wangu kwa wakati huo akaja wakati anataka kuondoka nikaona nimpe yakumwachia nikampa 30 ya nauli asiondoke mtupu mpenzi wangu na hapo mpaka anapokaa ni gari Moja tu napanda ni karibu eti ananiambia hiyo hela ni ndogo kumbuka huyu manzi anafanya kazi super market anapokea mshahara laki 3, na nimefanya hivyo kwa mapenzi yangu binafsi kwake alafu eti mtu anakupangia Cha kumpa nilivyooana huo utoto nikamwambia unataka kiasi gani akasema angalau si chini ya 50 nikamwambia nipe hiyo 30 nilipie umeme hapa alafu nikupe zaidi akanirudishia nikamwambia nenda tumemalizana akadhani nina mtania alivyoona nipo serious akaanza kulia anataka nimpe ile ile 30 kiukweli nilimkazia mno nilivyoona anazidi kulia nikampa elfu 5 asepe demu alinimind ila tangu hapo alinyooka mno aliacha utoto na heshima ikawa juu
Hii ndio dawa yao.
 
Mkuu

Kuna koneksheni gani kati ya kuomba hela na utoto?
Hela hutumika kumdanganya mtoto atulie na aone unampenda hasa hasa kama unayule mtoto anaelialia sana ukitaka kuondoka kwenda kutafuta riziki kama vile alivyo mwanamke asiejitambua anapokua kwenye mahusiano

Japo hela inaweza ikatumika kumuua mtoto pia napia kupitia hela inaweza ikatumika kumuua mwanamke mwenye utoto mwingi sana linapokuja swala la usaliti

Upendo wa kweli sio hela wala sio utoto utoto wa wanawake mnao uendekeza sana , ndoa imara hujengwa na upendo wa kweli, uvumilivu , kusaidiana na kumcha Mungu, na sio utoto walio nao wanawake wengi tukizingatia kua kwenye maisha kunakupanda na kushuka na kuna kupata na kukosa.

Hivyo wanawake wengi kwa kutokujitambua wanatumia utoto kuomba omba hela sana hali inayopelekea kuonekana niomba omba, matapeli na kuwakosesha wanaume sahihi walio kua na lengo la kuwaoa
 
Kumtongoza mwanamke ni nini?
Kumtongoza mwanamke ni kumuomba shida na matatizo yake yageuke kuwa yako!
Shida na matatizo yake yanageuka kua yako akisha kua mke wako kwa lengo la yeye kuja kuzaa kwa uchungu nasio kipindi cha kumtongoza..

Haupo sahihi mkuu
 
Sijanunua mkuu ni manzi niliuyokuwa nina mahusiano nae kimapenzi
Kuwa naye kwenye mahusiano sio tatizo Mkuu, tatizo ni kuwa alikuuzia na labda bado haujajua kuwa alikuuzia. Yeyealitoabuduma akitegemea kulipwa 50k wewe ukalipa 30k ndio maana hakukubaliana nayo. (Kwani hujajiuliza kwanini aliikataa 30k, kwanza kwanini ulipie?).

Ila Mkuu 5k hainunui hata pant liner siku ingine muongezee dau hata ukimkata usimkatesana shemeji yetu huyo. 😂
 
Mwingine anakuomba ili akukimbize kwasababu unakua umezidi kumsumbua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom