jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,023
- 4,221
Nasikitika kusema kwamba wanawake wana utoto na uchuro mwingi sana hadi unakata tamaa kumuoa.. yani unatongoza mwanamke anakaa anakusikikizia mwisho wa siku anakua analalamika njaa, mara hana mafuta, mara nywele, mara nguo, mara vocha, mara hela za matumizi mara sijui makitu gani.. yani ni njaa tupu na kuomba sana hela bila hata kua na huruma.
Mpaka unajiuliza hivi kabla sijatongoza alikua anaishije yani ni balaa tupu na mnakatisha sana hamu ya kuwaweka ndani.. unakuta kijana anania kweli ya kukuoa ila unaanza kumletea makitu kitu mpaka anagairi kabisa.
Hivi kwa hali hii tutajenga kweli. kwanini kama kweli mnataka tuwaoe msiache utoto ili tuwekeze hizo pesa tuje tujenge.. kwanini lakini wanawake hamtaki kukua tuu .