Wanawake acheni utoto ili tuwaoe

Wanawake acheni utoto ili tuwaoe

Mimi siyo mtoto,
Halafu aliyekwambia ndoa haihitaji hela ni nani?

Kwa taarifa yako kwa asilimia tisini ndoa nyingi huvunjika sababu ya umasikini.

Huyo mwanamke ambaye hutaki akwambie shida zake, ulitaka amwambie nani?

Na unataka muwe kwenye relationship kwa muda gani ndipo utamsikiliza shida zake?

Pesa huleta heshima kwa mwanaume,

Na zama zimebadilika usiishi kwa kukariri. Labda kama mgeni na wanawake.

Mwanamke anaweza kukuzidi kipato na mshahara na bado ukamuhudumia.
Umetisha mkuu.
 
Umeandikà point lakini haiondoi maana kuwa umeenda OP/chaka Kama mtihani yaani point zako nzuri ila sio zilizohitajika kwenye swali

Soma mada uwelewe kwanza kabla ya kujibu bla blaa
 
f377210412704a70821e1f02039a3157.jpg
 
Mimi siyo mtoto,
Halafu aliyekwambia ndoa haihitaji hela ni nani?

Kwa taarifa yako kwa asilimia tisini ndoa nyingi huvunjika sababu ya umasikini.

Huyo mwanamke ambaye hutaki akwambie shida zake, ulitaka amwambie nani?

Na unataka muwe kwenye relationship kwa muda gani ndipo utamsikiliza shida zake?

Pesa huleta heshima kwa mwanaume,

Na zama zimebadilika usiishi kwa kukariri. Labda kama mgeni na wanawake.

Mwanamke anaweza kukuzidi kipato na mshahara na bado ukamuhudumia.
Wanaibadiri Dunia kuwa ya 50/50 alafu wao hawataki kubadilika kazi kutaka kuomba Kila kitu kutoka Kwa MWANAUME

Alafu unasema zama zimebadilika wewe unajua zama kubadilika Kwa kipindi maana yake,maana yake ni 50/50 Kila mtu anajiweza unanitaki niambie ukinikubali basi fuata mapenzi kutoka kwangu sio unililie shida kibao

Na atakama MWANAUME atastahili kuhudumia sio mishida yote amuelekezee MWANAUME Ili hali na yeye mwanamke kipato anaingizaza
KAMA SIYO UTOTO HUO NINI SASA
 
Mkuu ,Kila mtu ana aina ya wanawake ambao anaweza kuwa nao, Mimi huwa Nina tabia ya kujenga mazoea na mwanamke kabla sijamtongoza , hivyo nakuwa najua baadhi ya tabia zake.
Hivyo hata ikitokea namtamkia na akaniomba chochote sisiti kumpa.

Ila Kuna wengine hutongoza demu ambaye hamfahamu a b c zake na ndiyo maana ukiombwa chochote unashtuka.
 
Sahii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom