miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
unabahati aisee,.. ila ukishampata unafanya wanaume wajisemee kumba anakubali halafu wanamjaribu kumbe hajaribiwiSi atafute na yeye wa kwake sasa?
Anasubiri wewe upointi halafu ajisogeze?
Ukiwa mzuri katika kupointi hakika lazima umpate unaentaka.
ukiwa na gari umemaliza mchezoSiku hz syo hvo,ukiwa na gheto zuri na hela ya kubadilishia mboga na pamba 5,utawakimbia
Hii ni sawa na ile unakuta kuna demu mzuri iwe ofsini au sehemu yoyote so unakuta watu hawana ujasiri wa kumfata.unabahati aisee,.. ila ukishampata unafanya wanaume wajisemee kumba anakubali halafu wanamjaribu kumbe hajaribiwi
Ndio mimi yule traffic, naendelea vizuri sasa unajua ule ulikuwa mshtuko tu wa muda ni kawaida kwa mwanaume ila sasa nimemuachia kila kitu mimi nasonga mbele na maisha nitapata mwengine.jamani pole aisee .. tulimpa trafic mmoja lifti maeneo ya mtongani mpaka posta aisee yule jamaa analalamika si kasomesha mwanamke kapata kazi kaolewa na mwanaume mwingine kamwachia mtoto wa miezi mitatu .. jamaa analaani anaelekea kluwa chizi anahadithia huku akichombeza na nyimbo za kikatoliki nilimwonwa huruma sana.. ila nikamwambia mchumba hasomeshwi
pole aisee usisahahu kusali traffic .. ila unaongea sana aisee nikikukuta tena nitakudanganya kwamba naenda hata keko ili nisikupe lifti tena.Ndio mimi yule traffic, naendelea vizuri sasa unajua ule ulikuwa mshtuko tu wa muda ni kawaida kwa mwanaume ila sasa nimemuachia kila kitu mimi nasonga mbele na maisha nitapata mwengine.
Naendelea na kazi zangu za usalama barabarani sababu naweza kusababisha ajali kwa watu au nikapata ajali mimi traffic nikiendelea na msongo wa mawazo.
Wanaume tumeumwa mateso,Hivi nipo barabarani nalitumikia taifa
mwanzo mgumu .. ukianza wanajua kumba anakubaliHii ni sawa na ile unakuta kuna demu mzuri iwe ofsini au sehemu yoyote so unakuta watu hawana ujasiri wa kumfata.
Wale waoga nao unaona wanaanza kukuzunguka tena wakati walikuwa nae siku nyingi.
Unaweza jikuta unaanza kujiuliza maswali mwenyewe sasa hawa jamaa wamemuona baada ya kuwa na Mimi au inakuwaje.
Sasa hapo ndiyo fitina huanza. Mtu yupo tayari ahonge gari au nyumba ilmradi tu akunyanganye.
[emoji1] [emoji2] [emoji3] we ni mzee kwel!? Au ni hadithi ulisimuliwa na babu..!?Siku hizi mnafanyaje vijana? enzi zetu ilikua ni process ndefu sana kumpata mwanamke, ndo mana ilikua ukimpoteza unatamani ujiue. Unakuta kumtafuta ni miezi 2, kumtongoza miezi 6 - 12, jibu miezi 2 - 4, kupewa tunda mwaka 1 - 2, kwahiyo unajikuta ukimpoteza mpenzi ujue utakaa zaidi ya mwaka au miaka 2 ndo uje kupata penzi.Ndo mana wengi mnakuta tulikua hatuachani japo tulikua tunakoseana sana.
Usinipe lift halafu uone nitakufanya nini..Kwanza taa ya kushoto haiwaki vizuri, tyre zimechoka, halafu leseni yako, site mirror nkpole aisee usisahahu kusali traffic .. ila unaongea sana aisee nikikukuta tena nitakudanganya kwamba naenda hata keko ili nisikupe lifti tena.
kujaribiwa sunaHahahah!
Halafu unakuta unamaindi kujaribiwa sasa.
unaishi wapi nimechoshwa mimi na hawa wapenzi masilahiMimi siko ivyo kabisa
Najua kushukuru&huwa sivunji ahadi
mkuu nakupa big up kwa investigation yako ,na conclusion yako , viumbe aumbao wanakosa utu sana maisha yakiwa magumu ni wanawake wa mjini OGOPA SANA
Hongera kwa hilo.kujaribiwa suna
mkuu kwa mr sifanyi mchezo hata kama sitaki naigiza.. mijaribio mingine kama haina hela wala siweweseki .. ukija wenye hela uwiii uwiiHongera kwa hilo.
Kwahiyo mnapenda sana kujaribiwa.
Kwa siku ukipewa majaribio kama 5 unajihisi umekamilika Mkuu.
Na siku hiyo hata game Kwa Mista inakuwa ni ndoto maana unakuta umetemewa sumu balaa so muda wote unawaza tu wa kumkubaliya kati yao?
wewe ndo akili yako uliielekeza kwenye kidonda chake kumbe mwenzio hana malengo na wewe tabu ndo imeanzia hapa........ pole next time usiwazie kidonda anza kwa urafiki unamchunguza mtu kwanza kisha unaangalia kama anakufaa......si kuzamia miguu mikono kichwa,,,,,,,,,,,Hakika Mkuu.
Kweli hivi viumbe havina akili.
Akili zao huwa zinahamia kwenye kidonda chao kile
nitachagua the bestHahahah
Wakikufata wote watano na wako vizuri.
Utafanyaje au utaenda nao vivyo hivyo?
Wakati mwingine wanaigiza Mkuu.wewe ndo akili yako uliielekeza kwenye kidonda chake kumbe mwenzio hana malengo na wewe tabu ndo imeanzia hapa........ pole next time usiwazie kidonda anza kwa urafiki unamchunguza mtu kwanza kisha unaangalia kama anakufaa......si kuzamia miguu mikono kichwa,,,,,,,,,,,