Wanawake acheni roho mbaya

Siku hizi hamna mapenz wanatazama pochi tu ss alishaona kapata mwenye Nazo kuliko ww akaona huna maana... Hilo ni funzo ishi na mwanamke kwa akili wana tamaa
 
Mwanaume unalia na mapenzi? tafuta wengine wanawake walivyo wengi tena siku hizi kutongozana hakuna.
Mleta mada hajalilia mapenzi sema ametaka kutoa funzo kwa wanawake wenyewe na wanaume pia.Mimi nampongeza kwa alichokifanya kuna wengi watajifunza kwa sababu kila kinachotokea huwa kina funzo ndani yake.
 
Mzee siku hizi ni maharage ya mbeya,ndani ya saa limoja toka kutongoza unapiga mzigo,unaitwa mume na kila kitu.Siku hizi bana ni walet yako au uwezo wako wa kuongea.
 
jamani pole aisee .. tulimpa trafic mmoja lifti maeneo ya mtongani mpaka posta aisee yule jamaa analalamika si kasomesha mwanamke kapata kazi kaolewa na mwanaume mwingine kamwachia mtoto wa miezi mitatu .. jamaa analaani anaelekea kluwa chizi anahadithia huku akichombeza na nyimbo za kikatoliki nilimwonwa huruma sana.. ila nikamwambia mchumba hasomeshwi
 
Thanks

Hatari sana Mkuu.

Ikitokea unaweza ukawa namba moja kati ya wanne.
 
Mzee siku hizi ni maharage ya mbeya,ndani ya saa limoja toka kutongoza unapiga mzigo,unaitwa mume na kila kitu.Siku hizi bana ni walet yako au uwezo wako wa kuongea.
Maharage ya mbeya[emoji4] [emoji4]

Kwani yakoje Mkuu?
 
Thanks

Hatari sana Mkuu.

Ikitokea unaweza ukawa namba moja kati ya wanne.
yule jamaa atakuwa chizi sababu kaingia kwenye gari tu kaanza kuongea baada ya salamu ya tumsifu Yesu kristo. imagine kipato cha polisi usomeshe mtu ukijua manakuja kusaidiana maishani halafu anakupiga chini duh ngumu sana
 
Kama unadate na mwanamke kila mkipanga kuonana anakuomba nauli

Ndugu yangu basi uyo si mwanamke bali ni kondakta

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…