miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,110
mibebez ya kichaga kama wewe huwa mko bomba sana kunako hips! uongo?
mmmh mimi sijui
mibebez ya kichaga kama wewe huwa mko bomba sana kunako hips! uongo?
Haya ulikuwa wapi mbona nimekutafuta sana?nimerudi...!
pole sana mtoto mzuri! haya nishafika sasa!! bring news!Haya ulikuwa wapi mbona nimekutafuta sana?
so ndo ujitahidi urudie umbile lako la mwanzo nilivyokuoa ulikuwa katika umbile lako zuri sana maridhawa ila sasa umeridhika umenenepeana umekuwa kama mtu wa kuchor,with all due respect kwako jitahidi ufanye mazoezi urudie umbile lako niokupendea nalomy dia mbona umefika mbali sana uko uliponioa nilikuwa slim
sasa nimekufyatulia twins double double kama sikosei
triple triple unasema ni umbo gani ninalo unanifedhehesha
ujue
so ndo ujitahidi urudie umbile lako la mwanzo nilivyokuoa ulikuwa katika umbile lako zuri sana maridhawa ila sasa umeridhika umenenepeana umekuwa kama mtu wa kuchor,with all due respect kwako jitahidi ufanye mazoezi urudie umbile lako niokupendea nalo
this is your fight so inabidi ufanye mwenyewe nitakachokusaidia ni kukulipia hela ya kwenda fitness centre tu.the rest utafanya mwenyewe y dia hata walimu wapo wengi tu huko tena ma expert.nitajitahidi kufanya mazoezi ila inabidi wewe ndo uwe mwalimu wangu wa mazoezi kwani
sitaki mwalimu mwingine au utanipeleka kule wanakowapeleka watu kufanya mazoezi
hivi kunaitwaje vileeeee!!
this is your fight so inabidi ufanye mwenyewe nitakachokusaidia ni kukulipia hela ya kwenda fitness centre tu.the rest utafanya mwenyewe y dia hata walimu wapo wengi tu huko tena ma expert.
haya get ready ukiwa tayari utanijulisha.Oky nashukuru kwa hilo ila naomba niambatane nawe kwenye hayo mazoez
kwani vibaka wako wengi sana kule nami sitaki nikusaliti my love
chaggaz baibez hips mwake mwake...!
haya get ready ukiwa tayari utanijulisha.
yes i'm ready.niko tayari hata sasa nakusubiiria wewe tu
are you ready?