Wanawake acheni mambo waume mnatumaliza!

ngozimbili

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
1,398
1,006
Kila jamii katika dunia yetu hii ina utamaduni wake.na sisi waafrika tuna utamaduni wetu.lakini kwa siku za karibuni utamaduni wetu umeingia katika mapambano makali na tamaduni zingine hasa za magharibi.na mapambano makubwa yapo kwenye mavazi hasa ya wanawake.tatizo linakuja pale mitindo ya mavazi ya wanawake wa kimagharibi imebuniwa kulingana maumbile yao miembamba.na wanatuletea kwetu huku ambako wanawake wa kiafrika mashaallah maumbile yao yamejazia ki sawasawa! Kwa hio wakivaa skin tight,model au mini.wanakuwa very very sexy sasa kazi inakuwa ngumu kwetu wanaume tunashindwa kuwa makini barabarani na majiani,maumbile ya wanawake wa kiafrika jamani ni mazuri mno kuliko ya wanawake wengine katika sayari hii(sijui kama wenyewe wanajua).kibaya zaidi demu anapita nguo ya kubana mgongo wa haja,hips ndio usiseme ANAVYOTEMBEA......AKINA MAMA ACHENI MAMBO WAUME MNATUMALIZA!
 
mi naona bora waendelee kuvaa tu mkuu!

vijana kama sie damu inachemka, ndo kwaanza wengine tuna miaka 25 toka tutahiriwe!

tukiona tu m-a-t-ako yanatingishika, tunasikia kizunguzungu! lols!

mi napendaga sana mavazi yao tu kwa ujumla!!

ina-refresh sana mind haswaaa!!!
 
tukiona tu ma----- yanatingishika, tunasikia kizunguzungu! lols!

mi napendaga sana mavazi yao tu kwa ujumla!!

ina-refresh sana mind haswaaa!!!

Mmmnhhh....!!
 
kama ipo ipo tu hata tukivaa magunia bado itakuepo tu kaka angu vumilia ndo ukubwa huo.
 
mi naona bora waendelee kuvaa tu mkuu!

vijana kama sie damu inachemka, ndo kwaanza wengine tuna miaka 25 toka tutahiriwe!

tukiona tu m-a-t-ako yanatingishika, tunasikia kizunguzungu! lols!

mi napendaga sana mavazi yao tu kwa ujumla!!

ina-refresh sana mind haswaaa!!!

ina re fresh au inachochea michepuko?
 
Nawaza tu itakuwaje tukirudi kwenye zama za kale za kufunika,sehemu ya mbele na makalio,huku kifua,tumbo,kiuno na mgongo vikiwa wazi,...
 
mi naona bora waendelee kuvaa tu mkuu!

vijana kama sie damu inachemka, ndo kwaanza wengine tuna miaka 25 toka tutahiriwe!

tukiona tu m-a-t-ako yanatingishika, tunasikia kizunguzungu! lols!

mi napendaga sana mavazi yao tu kwa ujumla!!

ina-refresh sana mind haswaaa!!!

hahahah kumbe nawe hupatwa na kizunguzungu!!? ingawa yuko kwenye bunge la katiba itabidi nimwite Gogle ili msaidiane kutatua tatizo lenu!
 
Last edited by a moderator:
mi naona bora waendelee kuvaa tu mkuu!

vijana kama sie damu inachemka, ndo kwaanza wengine tuna miaka 25 toka tutahiriwe!!

cc:Gogle

tukiona tu m-a-t-ako yanatingishika, tunasikia kizunguzungu! lols!

mi napendaga sana mavazi yao tu kwa ujumla!!

ina-refresh sana mind haswaaa!!!

1926856_527715547338764_196883706_n.jpg
 
Kila jamii katika dunia yetu hii ina utamaduni wake.na sisi waafrika tuna utamaduni wetu.lakini kwa siku za karibuni utamaduni wetu umeingia katika mapambano makali na tamaduni zingine hasa za magharibi.na mapambano makubwa yapo kwenye mavazi hasa ya wanawake.tatizo linakuja pale mitindo ya mavazi ya wanawake wa kimagharibi imebuniwa kulingana maumbile yao miembamba.na wanatuletea kwetu huku ambako wanawake wa kiafrika mashaallah maumbile yao yamejazia ki sawasawa! Kwa hio wakivaa skin tight,model au mini.wanakuwa very very sexy sasa kazi inakuwa ngumu kwetu wanaume tunashindwa kuwa makini barabarani na majiani,maumbile ya wanawake wa kiafrika jamani ni mazuri mno kuliko ya wanawake wengine katika sayari hii(sijui kama wenyewe wanajua).kibaya zaidi demu anapita nguo ya kubana mgongo wa haja,hips ndio usiseme ANAVYOTEMBEA......AKINA MAMA ACHENI MAMBO WAUME MNATUMALIZA!

1966953_515471031896549_242792178_n.jpg
 
Back
Top Bottom