Wanawake acheni mambo waume mnatumaliza!

Wanawake acheni mambo waume mnatumaliza!

Tyta njoo utupie mapicha huku unaitwa na mtoa mada
148612_502746526502333_1398472884_n.jpg
 
Wengine ata hawavai hizo za kubana lakini kama mtu kajazia neema za Allah ata akipiga dela bado wanaume hawatulizani, tena watu waliojaliwa kikweli kweli ndani ya dela kina Excel naona hawatapata kizunguzungu tu wanaweza zimia kabisa
 
Last edited by a moderator:
Toba Tyta umetisha ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Nauza miwani ya mbao. Special kwa wanaume wasioweza kujizuia ashiki!
 
mhm! :A S 465::A S 465::A S 465:
mi naona bora waendelee kuvaa tu mkuu!

vijana kama sie damu inachemka, ndo kwaanza wengine tuna miaka 25 toka tutahiriwe!

tukiona tu m-a-t-ako yanatingishika, tunasikia kizunguzungu! lols!

mi napendaga sana mavazi yao tu kwa ujumla!!

ina-refresh sana mind haswaaa!!!
 
ni bora usiangalie kabisa
na fanya kama uoni kwani utammkosea Mungu
ukiwa na macho ya kutamani tayari ushafanya naye huyo
 
aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hapa ntakuwa nafua boxer kila siku kama ustaarabu wenyewe ndo huu!

148612_502746526502333_1398472884_n.jpg


ndo style gani hii wadau?
 
ni bora usiangalie kabisa
na fanya kama uoni kwani utammkosea Mungu
ukiwa na macho ya kutamani tayari ushafanya naye huyo

mamii unatuumiza macho bana! hii rangi sio nzuri!

please understand...!
 
mhm! :A S 465::A S 465::A S 465:
sikiliza nikwambie dada, ukiwa na excel, kuwa huru! kama unampenda, unamchana! kama kakuboa, unamchana pia!

sasa hebu uambie uma, unamchukuliaje excel?
 
Back
Top Bottom