charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,459
- 6,008
hahaha asante tyta umetisher,mzima weye swaiba?
hahaha asante tyta umetisher,mzima weye swaiba?
Hapo kwenye red huu ni mtizamo tu wao wazungu wanaona ni maumbile mabaya sana ndio maana wanapambana nayo sana hawataki mwanammke mwenye minyama nyama hana soko kwao, hawo ni wazuri kwetu ni kama wachina tunawaona wabaya wakati wao wanajiona wazuri.Kila jamii katika dunia yetu hii ina utamaduni wake.na sisi waafrika tuna utamaduni wetu.lakini kwa siku za karibuni utamaduni wetu umeingia katika mapambano makali na tamaduni zingine hasa za magharibi.na mapambano makubwa yapo kwenye mavazi hasa ya wanawake.tatizo linakuja pale mitindo ya mavazi ya wanawake wa kimagharibi imebuniwa kulingana maumbile yao miembamba.na wanatuletea kwetu huku ambako wanawake wa kiafrika mashaallah maumbile yao yamejazia ki sawasawa! Kwa hio wakivaa skin tight,model au mini.wanakuwa very very sexy sasa kazi inakuwa ngumu kwetu wanaume tunashindwa kuwa makini barabarani na majiani,maumbile ya wanawake wa kiafrika jamani ni mazuri mno kuliko ya wanawake wengine katika sayari hii(sijui kama wenyewe wanajua).kibaya zaidi demu anapita nguo ya kubana mgongo wa haja,hips ndio usiseme ANAVYOTEMBEA......AKINA MAMA ACHENI MAMBO WAUME MNATUMALIZA!
hahaha asante tyta umetisher,mzima weye swaiba?
wacha longo longo we sema una shs ngapi!Mbona kama namfahamu?
wacha longo longo we sema una shs ngapi!
credit: mikasi, ngwair..!
mamii unatuumiza macho bana! hii rangi sio nzuri!
please understand...!
sikiliza nikwambie dada, ukiwa na excel, kuwa huru! kama unampenda, unamchana! kama kakuboa, unamchana pia!
sasa hebu uambie uma, unamchukuliaje excel?
Mkuu hata contact zake ninazo japo sijawahi wala sina uhusiano nae, niku PM contact zake?
ok.....ndiyo keyboard yangu ilivyo inachagua rangi
tatizo haliko kwangu likko kwenye mashine yangu
hahahaaaa!! unazingua wewe! nitext nihakikishe!Mkuu hata contact zake ninazo japo sijawahi wala sina uhusiano nae, niku PM contact zake?
mibebez ya kichaga kama wewe huwa mko bomba sana kunako hips! uongo?what is going on? i can see big mamas loh
nimerudi...!Utashangaaa/kukaribisha na mapepo mana wote wa barabarani sio watu
(mungu anisamehe) ila huyu bidada dah kama kachorwa umbo gani hili.