Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,648
Na ulivyojaa kwenye hiyo bodaboda sasa!!
Umeona eee? Kukonda ni dalili mbaya sana. Ni zaidi ya ufukara na ulofa.
Na ulivyojaa kwenye hiyo bodaboda sasa!!
jusimchukue usiku mmetoka klabu, asubuhi akitoka chooni na makeup imekwisha lazima upige ukungwi maana dracula kaingiaWe unamfuata wa nini si usubiri afe
Tena huyo ni bingwa sijui wanawake walimfanyaga nini, hanaga jema juu yao.
Daah inategemea na marafiki bana. Kwanza sinaga tabia ya kum-assess baby through my friends. Nawaletea tu huyu ndo shem wenu full stop. Kuna watu wakisifia tu watakufa siku hiyo hiyo. Sema namshukuru Mungu most of my friends sio watu wa kukukatisha tamaa, unless kuna taarifa mbaya mbaya hapo watakwambia tu bana kuna A, B, C
Hivi ushawahi kuwasikia men wanaambiana " washkaji yule demu pochi lake kali"? Mara nyingi tunasifiana na kupondana wenyewe. Wanaume wengi hata kutofautisha nywele za kawaida na weaves hawawezi let alone kujua bei
Wewe nani uwape amri kutovaa wigi? Labda uongee na rais atangaze NO Wigs, nje ya hapo unajipa presha bure kwa mambo yasiyokuhusu. Ila kwa habari ya mkeo muombe asiweke hizo nywele
Hahaha inaonekana wewe mwenyewe husifii kutoka moyoni tehUnasifia hivyohivyo Douta..Japo sifa zangu uwa hazitilii maanani sana
Teh chezea dingi house, ukute hapo ana kochi lake special, Ole wako ukaeUtajuaje faza hauzi izi ini ze hauzi? Teh teh teh teh!
Babu ni baraka ujue kufikia huo umri. Enjoy tu uzee wako banaMcheke babu kwani keshakuwa kibogoyo. Ungekutana naye enzi zake za 1947 lazima taa ingezima. Ngoja tuendelee kuienzi historia
Unasifia hivyohivyo Douta..Japo sifa zangu uwa hazitilii maanani sana
Teh teh..Mpaka mtu unajiuliza hii ni sura au painting board
Kwanza yananuka yanatuamshia asma pia aibu kwenu
Hili jiwe limekupata usoni
Ndo uondoe hayo makatani kichwani
Teh teh..Yani sometimes unakuta msichana anageuka kuangalia upande mwingine ila wig limebaki straight tu..halijafwata direction ya kichwa...
Exactly, unaambiwa tu HS hapa umezingua na tulivyo sasa tukipata tu taarifa tunaitafutia evidences ndo tunakubwagia bwaaaa. Utaamua mwenyeweMie nina marafiki wakweli hadi raha, yaani wanakupa white n black utajua mwenyewe, yaani walaaa hawasemei pembeni wanakupa usoni, alafu tunajikutaga tunapenda vitu vinavyofanana so haisumbui.
na wewe ni mhanga nini?[/QUOTE
Kuna janga gani tena shemeji