Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,343
- 176,132
Ndiyo maana niko pembeni na bibi tunachezea kitambi!
Hahahaaaaa! Nakuona tu hapo ulivyojaa kwenye sofa utadhani mmekaa watu 4, msalimie bibi.
Ndiyo maana niko pembeni na bibi tunachezea kitambi!
inaonekana wewe ni mhanga katika hilo maana kwa hilo povu ni aibu
Hahaha babu it's a free country since 1961. Kila mtu ana uhuru wa kufanya anachotaka as long as havunji sheria ya nchi. Si kila mtu atapenda unachokipenda, so ni kuheshimu tu choices za wengine. Tatizo tu ukiwa too serious, humu ndani utanunajeee
Hahahaaaaa! Nakuona tu hapo ulivyojaa kwenye sofa utadhani mmekaa watu 4, msalimie bibi.
Hahaha Imebidi tu nicheke. Umeongea kweli kabisa. Kuna watu kabla hajamkubalia mtu lazima atamleta kwa friends zake, basi mkimsifia tu ndo kama mmempa go ahead. Ila ni utoto tu, yani friends ndo wakufanye umpende mtu
Najua ila sipendi wajukuu zangu watoane macho!
Hahahaaaaa! Nakuona tu hapo ulivyojaa kwenye sofa utadhani mmekaa watu 4, msalimie bibi.
We ndo umepaniki, kuja kulalamikia mawigi ya mwanamke, kama ulikuwa hujui sio mara zote wanawake wanajiremba kwa ajili ya wanaume hiyo ni psychology ya wanawake... They are competitive among themselves.
Hata ningekuwa nimelivaa wewe halikuhusu, hata liwe la kijani teh teh
Kwa raha zetu kama Kingwendu wa ngundulile!
Unasifia hivyohivyo Douta..Japo sifa zangu uwa hazitilii maanani sanaLakini akishonea si unamsifia alivyopendeza au hata kusifia umegoma
nywele fake, na harufu juu, matako, fake, kope fake, kucha fake , meno fake, bikira karudishia fake , ukitaka kumuona original subiri kwenye jeneza, na kama utakubali kuwa yeye utasema mortuary wamechanganya maiti
Hahaha babu kajaza sebule yote Peke yake
Weeeeh hakuna kitu kinamaliza comfidence kama friends wamdiss mtu wako unaweza jikuta unamchukia huyo mtu ghaflaaaa!!
Hahaha babu kajaza sebule yote Peke yake
Mmezoea kuwachambua wanawake, sivai ila sikubaliani na ninyi kuingilia uhuru wa wenzenu
Hapo bado hujaongelea makeups zao..Yani wengine ukikutana nao barabarani unajiuliza leo ni Halloween day ama