Wanawake acheni kuvaa mawigi

Wanawake acheni kuvaa mawigi

ivi wigi ndo kalikiti au?? siyaelewagi kabisaa mtu anakaa nalo mpk linaota ukunga sasa apo chawa watakosa kweli
 
Lipo Jukwaa linalohusu maendeleo, huwa unalitembelea lakini?

Tunajaribu kuondoa imani potofu na kuigaiga vitu ambavyo havina maana yoyote. Say NO to fake hair.

Huna haki eneo hilo, hazikuhusu hizo fake hair waachie wavaaji labda kama kimoyo moyo unazitaka.
Unapinga usichoweza kuzuia.
Acha nimalizie weekend yangu, kumbe bado mi mbishi namkimbizia kansiime sasa.
 
We nawe sayari ya wapi unatokea? Wigs ndio habari ya mjini! Unavaa wigs for so many reasons:
1) personal interest :some prefer wigs to look different and feel what they think it's good for themselves so u can't change that
2) if you wanna try to got your hair back may be ulikata kwa reason flan so wigs covers your bald head
3)business purpose! Huwezi kuadvertise unauza wigs/weave huku unakipilipili chako! Once in a while unashow what you have.
4) sometime some people find it hard to maintain kipilipili so the feel safe and good looking in wigs
All in all its how you feel and its your choice not your ' man's choice
 
Ukipitia humu vizuri utagundua ni ukweli kila mtu ukiacha wale wachache wasiojitambua

Kwanini useme hawajitambui? Huko kutokujitambua umekutambuaje? Ni kitu gani kikufanye umuone yule anayependa na kumnunulia mkewe au mpenziwe weaves kuwa hajitambui??
 
We nawe sayari ya wapi unatokea? Wigs ndio habari ya mjini! Unavaa wigs for so many reasons:
1) personal interest :some prefer wigs to look different and feel what they think it's good for themselves so u can't change that
2) if you wanna try to got your hair back may be ulikata kwa reason flan so wigs covers your bald head
3)business purpose! Huwezi kuadvertise unauza wigs/weave huku unakipilipili chako! Once in a while unashow what you have.
4) sometime some people find it hard to maintain kipilipili so the feel safe and good looking in wigs
All in all its how you feel and its your choice not your ' man's choice
Baelezee baelewe
 
Unalazimisha sasa, ushauri haulazimishwi wala Ombi halilazimishwi. Kila mtu anacho anachotaka na sio lazima kimvutie mwingine, huna cha kufanya mtu akiamua kuvaa wig labda awe mkeo utamvua maana wengine hawajali kama huvutiwi
Mara nyingi wanawake wanashindana wenyewe maana hakuna mwanaume anayejua wigi la human hair au la laki 3 ila mwanamke mwenzie atajua na kumsifia. Sio mara zote lengo wewe uvutiwe so yanakuwa hayakuhusu

mimi kama mchungaji ngoja sasa nilimalize hilo.

kitu cha mcngi, na ambacho kinaletaga shida na kuwa kesi kuwa nyng kwetu wachungaji ni: ni mwanamke kudai kupewa hela ya wig kiasi kwmb asipopewa ndani ugomvi,ndo hapiki, hafui,chumbn hakuna k2, hamuongei,nk.

lkn na ww isiwe kama ulimckia yule fake pastor ambapo alimwombea mtu mwenye pepo, alafu lile pepo likasema wanapendaga sn kukaa kwny mawig.

kwa iyo ni suala tu la kukaa mke na mume na kukubaliana.
By Mchungaji 0757856336
 
Huna haki eneo hilo, hazikuhusu hizo fake hair waachie wavaaji labda kama kimoyo moyo unazitaka.
Unapinga usichoweza kuzuia.
Acha nimalizie weekend yangu, kumbe bado mi mbishi namkimbizia kansiime sasa.

Fake hair zenu zinatuondolea sisi wanaume hisia za mapenzi
 
unakuta mtu mda wote yuko na bunda toothpick kwa ajili ya kuchokonolea wigi/kalikiti likimuwasha
 
We nawe sayari ya wapi unatokea? Wigs ndio habari ya mjini! Unavaa wigs for so many reasons:
1) personal interest :some prefer wigs to look different and feel what they think it's good for themselves so u can't change that
2) if you wanna try to got your hair back may be ulikata kwa reason flan so wigs covers your bald head
3)business purpose! Huwezi kuadvertise unauza wigs/weave huku unakipilipili chako! Once in a while unashow what you have.
4) sometime some people find it hard to maintain kipilipili so the feel safe and good looking in wigs
All in all its how you feel and its your choice not your ' man's choice

hizi ni sababu ambazo umezileta Kuhalalisha Huu uvaaji wa hii midude.. Biashara haiwezi kufanyika kwa kuvaliwa bali kuonyeshwa kwa kutumiwa au kukutana... Sema tu kuwa tunaficha vipilipili na Mapunye Kichwani.. Hizi Sababu Siziafiki na Nazipinga
 
Fake hair zenu zinatuondolea sisi wanaume hisia za mapenzi

Kama zinakaa kwenye nywele poleni, ila nimekwambia awali kama ni mkeo mwambie lkn hutawakataza wanawake wote ni nje ya utawala wako.
 
We nawe sayari ya wapi unatokea? Wigs ndio habari ya mjini! Unavaa wigs for so many reasons:
1) personal interest :some prefer wigs to look different and feel what they think it's good for themselves so u can't change that
2) if you wanna try to got your hair back may be ulikata kwa reason flan so wigs covers your bald head
3)business purpose! Huwezi kuadvertise unauza wigs/weave huku unakipilipili chako! Once in a while unashow what you have.
4) sometime some people find it hard to maintain kipilipili so the feel safe and good looking in wigs
All in all its how you feel and its your choice not your ' man's choice
Summary:
1. Kuiga
2. Kuficha uhalisia wako
3. Unayemuuzia ni limbukeni
4. Kutokujiamini
 
Kwanini useme hawajitambui? Huko kutokujitambua umekutambuaje? Ni kitu gani kikufanye umuone yule anayependa na kumnunulia mkewe au mpenziwe weaves kuwa hajitambui??

Ukishauliza sababu za kuzivaa na ukapata majibu yake inakuwa ni rahisi kuconclude kuwa kuna kutokujitambua kwa pande zote zinazohusika
 
hizi ni sababu ambazo umezileta Kuhalalisha Huu uvaaji wa hii midude.. Biashara haiwezi kufanyika kwa kuvaliwa bali kuonyeshwa kwa kutumiwa au kukutana... Sema tu kuwa tunaficha vipilipili na Mapunye Kichwani.. Hizi Sababu Siziafiki na Nazipinga

Kwani wewe unavaaga mpk ukatae hizo sababu?
unajua kuna watu wanatibiwa kansa nywele zinaisha wanavaa wigs...?
 
Back
Top Bottom