Hapo bado hujaongelea makeups zao..Yani wengine ukikutana nao barabarani unajiuliza leo ni Halloween day amaHahaaa wakati mwanamke anapochana wigi lake zinadondoka chini, ukiwa karibu naye zinakudondokea
halafu sasa wenyewe hawana mda.Hizo za rangi rangi ndio zinaboa mpaka basi
Heheheeee! Yote haya kayataka mumeo Paulo Sergio De Souz maana aliligusia hilo bwana sonko nae kapata mada, haya ngoja tuangalie upepo wa huku tena, waje wamalizie zile stress zao za kuleee!
Nilijua tu kitakachofuata
Hapo bado hujaongelea makeups zao..Yani wengine ukikutana nao barabarani unajiuliza leo ni Halloween day ama
Unalazimisha sasa, ushauri haulazimishwi wala Ombi halilazimishwi. Kila mtu anacho anachotaka na sio lazima kimvutie mwingine, huna cha kufanya mtu akiamua kuvaa wig labda awe mkeo utamvua maana wengine hawajali kama huvutiwi
Mara nyingi wanawake wanashindana wenyewe maana hakuna mwanaume anayejua wigi la human hair au la laki 3 ila mwanamke mwenzie atajua na kumsifia. Sio mara zote lengo wewe uvutiwe so yanakuwa hayakuhusu
Wewe tulia usipanic na ukute sasa hivi umelitundika kichwani kwako
Unavaa wigi kushindana na mwanamke mwenzako hata kama halivutii?
Kwani unavyojipodoa, kujiremba na kukesha kwenye kioo huwa unafanya hivyo kwa ajili ya mwanamke mwenzako? Huo ndio ulimbukeni wenyewe
Hilo wigi la laki3 ni Fake Hair pia, acha ushamba
Unalazimisha sasa, ushauri haulazimishwi wala Ombi halilazimishwi. Kila mtu anacho anachotaka na sio lazima kimvutie mwingine, huna cha kufanya mtu akiamua kuvaa wig labda awe mkeo utamvua maana wengine hawajali kama huvutiwi
Mara nyingi wanawake wanashindana wenyewe maana hakuna mwanaume anayejua wigi la human hair au la laki 3 ila mwanamke mwenzie atajua na kumsifia. Sio mara zote lengo wewe uvutiwe so yanakuwa hayakuhusu
We ndo umepaniki, kuja kulalamikia mawigi ya mwanamke, kama ulikuwa hujui sio mara zote wanawake wanajiremba kwa ajili ya wanaume hiyo ni psychology ya wanawake... They are competitive among themselves.
Hata ningekuwa nimelivaa wewe halikuhusu, hata liwe la kijani teh teh