Wanawake acheni kuvaa mawigi

Wanawake acheni kuvaa mawigi

Jaman mbona mh Angelina Mabula hana wig yupo natural na anapendeza! Mnadhani hana laki 7 ya wig?
 
Hayo mawig muwe mnayaloweka kwenye omo na kuyafua, yananuka na kutusababishia mafua na kikohozi. Pia hata kwenye misosi tunazila hizo nyuzi feki.
 
Kwi kwi kwi....huu uzi unanifurahishaga kweli... mtu hapiti bila kuvunjwa mbavu na coment km ya kwako...lol 😀
 
Hii ndio mitindo ya kiafrika, utumwa wa fikra umewafanya kutopenda vya kwenu
 
Attachments

  • 1448821187100.jpg
    1448821187100.jpg
    76 KB · Views: 189
kwani na wewe unalo basi tusijuane... by the way kwa nini hua mnajipiga piga kichwani mkivaa mawigi

Wanajipiga piga coz wanawasha na wakijikuna sana litasogea..... Mimi wigi sijawahi vaa na sitawahi vaa.
Nywele nimeeka dawa-relaxer bcoz ni ngumu sana na zimejaa kichwani nashindwa kuhandle afro. Huwa ninacycles za kusuka na kuretourch-kuchana. Nasuka styles tofauti na rasta. Na sipendi kubadilisha msusi au kusuka styles zinazokata nywele.... Then nywele zikiota vizuri naeka dawa na kuchana tu.
Nikiwa saluni nakuwa mkali wasieke dawa mpaka kwenye ncha(Kama imebaki bora hio dawa watupe), natumia dawa za box, na wakati wakuosha nahakikisha ameniosha throughly, Otherwise namwambia aoshe tena, yote nikuhakikisha dawa haibaki kichwani nywele zangu zikakatika.

Nywele zangu zinaurefu mpaka past mabegani na zimejaa kichwani bcoz of kusuka mara kwa mara. Hapo ndo mtu ambae hajawahi kuzioona nywele zangu live hunishangaa na kuniuliza kwanini ninasuka wakati nina nywele nzuri.

Of course nakiri nywele ni genetics bcoz mdogo wangu wa kike pamoja na kufanya yote nifanyavyo kwenye kutunza nywele zake hazijawahi kuwa nyingi wala ndefu kama zangu hata akieka dawa, so I guess hakupata genes za hair!! ..Dogo yupo Marekani na kule masaloons ni damn expensive so ameeka natural darasani anatinga na afro lake comfortably na kuchana chana african styles na pins, bands n ornaments. Kwa kweli anapendeza.
 
Nshomile umetishaaa mbaya kuna zawad ya Coca-Cola ndogo "mwala" au unataka RI jack Daniel hahah, infwact nataman nione hizo nywele zako
 
Huu uchafu wa wanawake siupendi!!!! Mtu anakuwa kama midoli ya kuuzia nguo. Japo sijui hata kutofautisha baina ya nywele, weaves, wigs hata bei. Ni sawa na binti nisiyempenda, sihitaji kujua hata moja ya habari zake.
Westernisation turns me off. It is one of humiliation as a human being willingly turned to cartoon.
 
Wanajipiga piga coz wanawasha na wakijikuna sana litasogea..... Mimi wigi sijawahi vaa na sitawahi vaa.
Nywele nimeeka dawa-relaxer bcoz ni ngumu sana na zimejaa kichwani nashindwa kuhandle afro. Huwa ninacycles za kusuka na kuretourch-kuchana. Nasuka styles tofauti na rasta. Na sipendi kubadilisha msusi au kusuka styles zinazokata nywele.... Then nywele zikiota vizuri naeka dawa na kuchana tu.
Nikiwa saluni nakuwa mkali wasieke dawa mpaka kwenye ncha(Kama imebaki bora hio dawa watupe), natumia dawa za box, na wakati wakuosha nahakikisha ameniosha throughly, Otherwise namwambia aoshe tena, yote nikuhakikisha dawa haibaki kichwani nywele zangu zikakatika.

Nywele zangu zinaurefu mpaka past mabegani na zimejaa kichwani bcoz of kusuka mara kwa mara. Hapo ndo mtu ambae hajawahi kuzioona nywele zangu live hunishangaa na kuniuliza kwanini ninasuka wakati nina nywele nzuri.

Of course nakiri nywele ni genetics bcoz mdogo wangu wa kike pamoja na kufanya yote nifanyavyo kwenye kutunza nywele zake hazijawahi kuwa nyingi wala ndefu kama zangu hata akieka dawa, so I guess hakupata genes za hair!! ..Dogo yupo Marekani na kule masaloons ni damn expensive so ameeka natural darasani anatinga na afro lake comfortably na kuchana chana african styles na pins, bands n ornaments. Kwa kweli anapendeza.

sasa nikuibie siri wanaume wengi maradhi yetu ni nywele .. kwa hakika ni mara chache sana utakuta mwanaume hapendi nywele,, huwa nawashangaa hata madada wanao nyoa vipara.... na nywe natural ndo haswaaa, my sister ana minywele mingi mpaka raha kwa kweli...... please endelea kutunza nywele zako na kamwe usije ukakata au kutumia dawa usio ifahamu.... hongera
 
Wanajipiga piga coz wanawasha na wakijikuna sana litasogea..... Mimi wigi sijawahi vaa na sitawahi vaa.
Nywele nimeeka dawa-relaxer bcoz ni ngumu sana na zimejaa kichwani nashindwa kuhandle afro. Huwa ninacycles za kusuka na kuretourch-kuchana. Nasuka styles tofauti na rasta. Na sipendi kubadilisha msusi au kusuka styles zinazokata nywele.... Then nywele zikiota vizuri naeka dawa na kuchana tu.
Nikiwa saluni nakuwa mkali wasieke dawa mpaka kwenye ncha(Kama imebaki bora hio dawa watupe), natumia dawa za box, na wakati wakuosha nahakikisha ameniosha throughly, Otherwise namwambia aoshe tena, yote nikuhakikisha dawa haibaki kichwani nywele zangu zikakatika.

Nywele zangu zinaurefu mpaka past mabegani na zimejaa kichwani bcoz of kusuka mara kwa mara. Hapo ndo mtu ambae hajawahi kuzioona nywele zangu live hunishangaa na kuniuliza kwanini ninasuka wakati nina nywele nzuri.

Of course nakiri nywele ni genetics bcoz mdogo wangu wa kike pamoja na kufanya yote nifanyavyo kwenye kutunza nywele zake hazijawahi kuwa nyingi wala ndefu kama zangu hata akieka dawa, so I guess hakupata genes za hair!! ..Dogo yupo Marekani na kule masaloons ni damn expensive so ameeka natural darasani anatinga na afro lake comfortably na kuchana chana african styles na pins, bands n ornaments. Kwa kweli anapendeza.

Weka tupicha mamito wakuone mtoto wa 'ke' ulivyotokelezea.
 
g
Sikushangai kama ungekuwa na unyoya usingekubali kuwanukisha watu na minywele yako bandia

.
Aka babuwee nywele nnazo and wigs/weaves tutavaa vilevile na hazinuki wala nini just for enhancing our beauty
 
Hayo mawig muwe mnayaloweka kwenye omo na kuyafua, yananuka na kutusababishia mafua na kikohozi. Pia hata kwenye misosi tunazila hizo nyuzi feki.
Huyo demu wako atakuwa mchafu ndio maana ! Because wigs weaves have the way you wash it and take care of it hazinuki !
 
Wanaume wanafki kishenzi! Hao wenye vipArA au tibaujuka style mnawaita bake3!! And I'm sure 90% here u banging chicks in weaves/wigs or fake skin tone:blah:
 
Huyo demu wako atakuwa mchafu ndio maana ! Because wigs weaves have the way you wash it and take care of it hazinuki !

Ushaathirika kisaikolojia kwa Uvaaji wa Hiyo midude kwahiyo hata uambiwaje huwezi kuelewa. Bila shaka una matuta ya Viazi kichwani
 
Back
Top Bottom