Art
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 611
- 88
sasa je! We mbona from shoes to wallet everything is fake and we ain't say nothing huh.. Mutuwacheeee
Sasa unasababisha vitu vya kuvaa na kutumia kuwekea pesa na u fake wa viungo vya binadamu?
sasa je! We mbona from shoes to wallet everything is fake and we ain't say nothing huh.. Mutuwacheeee
Ushaathirika kisaikolojia kwa Uvaaji wa Hiyo midude kwahiyo hata uambiwaje huwezi kuelewa. Bila shaka una matuta ya Viazi kichwani
Wanajipiga piga coz wanawasha na wakijikuna sana litasogea..... Mimi wigi sijawahi vaa na sitawahi vaa.
Nywele nimeeka dawa-relaxer bcoz ni ngumu sana na zimejaa kichwani nashindwa kuhandle afro. Huwa ninacycles za kusuka na kuretourch-kuchana. Nasuka styles tofauti na rasta. Na sipendi kubadilisha msusi au kusuka styles zinazokata nywele.... Then nywele zikiota vizuri naeka dawa na kuchana tu.
Nikiwa saluni nakuwa mkali wasieke dawa mpaka kwenye ncha(Kama imebaki bora hio dawa watupe), natumia dawa za box, na wakati wakuosha nahakikisha ameniosha throughly, Otherwise namwambia aoshe tena, yote nikuhakikisha dawa haibaki kichwani nywele zangu zikakatika.
Nywele zangu zinaurefu mpaka past mabegani na zimejaa kichwani bcoz of kusuka mara kwa mara. Hapo ndo mtu ambae hajawahi kuzioona nywele zangu live hunishangaa na kuniuliza kwanini ninasuka wakati nina nywele nzuri.
Of course nakiri nywele ni genetics bcoz mdogo wangu wa kike pamoja na kufanya yote nifanyavyo kwenye kutunza nywele zake hazijawahi kuwa nyingi wala ndefu kama zangu hata akieka dawa, so I guess hakupata genes za hair!! ..Dogo yupo Marekani na kule masaloons ni damn expensive so ameeka natural darasani anatinga na afro lake comfortably na kuchana chana african styles na pins, bands n ornaments. Kwa kweli anapendeza.
Oh puliiiz!! Fake is fake regardlessSasa unasababisha vitu vya kuvaa na kutumia kuwekea pesa na u fake wa viungo vya binadamu?
no Sir!!! I have my hair but if I wanna add some volume to it I WILL!Ushaathirika kisaikolojia kwa Uvaaji wa Hiyo midude kwahiyo hata uambiwaje huwezi kuelewa. Bila shaka una matuta ya Viazi kichwani
Nitafute tafaadhwali...
no Sir!!! I have my hair but if I wanna add some volume to it I WILL!
Huyo demu wako atakuwa mchafu ndio maana ! Because wigs weaves have the way you wash it and take care of it hazinuki !
Wanaume wanafki kishenzi! Hao wenye vipArA au tibaujuka style mnawaita bake3!! And I'm sure 90% here u banging chicks in weaves/wigs or fake skin tone:blah:
Ibra bana! Na Kitop chako cha kijaniUshaathirika kisaikolojia kwa Uvaaji wa Hiyo midude kwahiyo hata uambiwaje huwezi kuelewa. Bila shaka una matuta ya Viazi kichwani
HahahahaMwanamke anapendeza na kuvutia zaidi anapokuwa na nywele zake za asili wala sio mawigi. Hiyo ni FACT.
Mawigi yanaboa na yanatupunguzia hisia, mfano pale mwanaume unavyozishika au kujaribu kuzichezea halafu unajua kabisa hizi nywele sio.
Ni kama likofia fulani hivi linalovaliwa au kushonwa kichwani kwa mwanamke, ambayo pamoja na kwamba KIUHALISIA halimuongezei mwanamke mvuto (hata kama ni la Laki Moja), linatakiwa libadilishwe kila baada ya muda fulani.
Wanawake bakini na nywele zenu za asili, zipeni matunzo na usafi wala hamna haja ya kuhangaika na kubadilisha mawigi maana wanaume {99.99%} hatuzipendi. Zinaboa hata kuangalia.
Cha kushangaza, utamkuta mwanamke wa kibongo eti naye anahangaika kuweka liwigi lake vizuri kanakwamba linamzuia kuona vizuri wakati ni FAKE HAIR na yeye mwenyewe kaliweka hivyo kwa makusudi kuiga Wazungu.
Say NO to Fake Hair.
Tusubiri tu li-movie tu hapa
Hahaha acha hizo basi khaaaMimi nikiyaonaga hayo mawigi natapika
Mama watoto anavaa hadi kijani amekua kinyonga..teh umetuongezea chai hapaAiseehhh mimi huwa nakerwa zaidi nahisi, yani mimi na mama watoto wangu ndo ugomvi kila kukicha,namkataza lakin wapi,unakuta wigi la rangi sijuwi kijani, sijuwi pink yani hakuna relation na uhalisia wa nywele za binadamu, siyapendi mawigi na sipendi kumuona alady amevaa
Hahahaa unavijembe sana bestie...watu kama nyiee ni wachunguzi wa vitu vidogovidogo hamfaiTeh teh..Yani sometimes unakuta msichana anageuka kuangalia upande mwingine ila wig limebaki straight tu..halijafwata direction ya kichwa...