wigs za kawaida ambazo sio za gharama sana kiukweli zinasaidia sana(zinaokoa pesa nyingi tunazotumiaga)coz nywele za mwanamke mpaka zitunzwe na zipendeze ni gharama sana..mara dawa,steaming,mafuta ya kukuza,ya mba,mara uzisuke ili zikue na huwezi suka twende kilioni ukaenda kazini au sehemu yoyote makini,mara shampoo na makorokocho kibaoooo.na zaidi muda mwingi unatumika.mie zamani ilikuwa huwezi kunishawishi nivae wigs nilikuwa siyapendi kabisa ila nywele zilinichosha nikanyoa kipara na kuanza kujifunza kuvaa wigs taratibu kiukweli naenjoy sana coz nimeokoa muda wangu mwingi,pesa halafu najiona niko hurusana.cha muhimu ni wadada kuzingatia usafi wa hizi nywele hasa sehemu za joto.ishi ya wanaume wengi hawapendi wanawake wanaovaa mawigs sio kweli mbona ndo mnaowaoa kila kukicha?au wanawake wavaa mawigs hawavai mashera?siku nikijisikia kuanza kusuka na kuwa na nywele zangu nitafanya hivyo,ila kwa sasa nahakikisha nikioga kichwa changu nacho kinaoga coz nywele ni fupi, afu nazipaka mafuta mazuriiii,afu nachukua wigi langu nalipulizia manukato yake mazuriiii,afu nalibandika kichwani.halafu mkumbuke si kila mwanamke ana kichwa cha kukata nywele na kukiacha hivyohivyo.