brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,297
Ingekua ni kuvutia wanaume wote tungerudi kwenye kuwa natural..We ndo umepaniki, kuja kulalamikia mawigi ya mwanamke, kama ulikuwa hujui sio mara zote wanawake wanajiremba kwa ajili ya wanaume hiyo ni psychology ya wanawake... They are competitive among themselves.
Hata ningekuwa nimelivaa wewe halikuhusu, hata liwe la kijani teh teh
Kuna vitu vingine vingi vinachangia,watuache tu na mawigi yetu...